Podcasts

31 January 2023, 12:23 pm

Hekima na busara, sababu ya amani msimbati

Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu ya Kanda ya Mtwara Mhe.Zainab Muruke amemtaja mzee Issa Mohamed Mkumba kuwa ni kinara wa kutatua changamoto za migogoro katika jamii bila kufikishana katika vyombo vya usuluhishi na Mahakama. Na Hamza Ally Mzee Mkumba amekua…

31 January 2023, 12:07 pm

Wanawake washauriwa kukuza kipato cha familia

“Wanawake wa Mkoani Mtwara wameshauriwa kupambana katika kutafuta  na kuongeza kipato cha familia  na kuachana na tabia ya kuwaacha wanaume pekee katika kutekeleza majukumu ya Nyumbani.“ Na Mohamed Massanga Akizungumza na Jamii fm Radio Mwenyekiti wa kikundi cha ‘’LIYAKAYA  WOMENI GROUP’’…

31 January 2023, 12:04 PM

Wanafunzi wapewa elimu ya usalama barabarani

Inspekta Magazi akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika wakati akiwapa elimu ya usalama barabarani kipengele cha waenda kwa miguu. Na Lawrence Kessy Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika, iliyopo Kata ya Mwenge Mtapika,  Halmashauri ya Mji wa Masasi, …

31 January 2023, 12:02 pm

Askari 12 watunukiwa vyeti Iringa

Askari waliotunukiwa vyeti vya utendaji kazi bora wamehimizwa kuwa wazalendo za kuzingatia haki pindi wanapotekeleza majukumu yao. Na Elizabeth Shirima Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP. Allan L. Bukumbi amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 12 na mtumishi raia…

31 January 2023, 12:02 pm

Balozi afafanua juu ya Miundombinu ya Maji taka

Balozi wa mtaa wa Bahiroad mariamu omary amelazimika kutoa ufafanuzi juu ya miundombinu ya maji taka. Na Leonard Mwacha Alitoa ufafanuzi huo juu ya shutuma zinazoelekezwa kwa wenye nyumba juu ya kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya maji taka. Kwa…