Podcasts
18 July 2023, 5:05 pm
Zifahamu taratibu za kutoa maoni katika vituo vya Afya na hospitali ya Rufaa
Je unafahamu utaratibu wa kutoa maoni baada ya kupata huduma katika kituo cha Afya au hospitali endapo hukuridhishwa na huduma? Na Yussuph Hassan. Imeleezwa kuwa kila kituo cha afya kina utaratibu wa kupokea maoni yanayotolewa pindi mpokea huduma anapoenda kupatiwa…
14 July 2023, 6:45 pm
Hatua za kufuata kuepukana na ugonjwa wa saratani ya jicho
Na Yussuph Hassan. Ugonjwa wa saratani ya jicho kwa watoto ni ugonjwa ugonjwa wa kurithi ambapo Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma anazungumzia nini cha kufanya ili kuepuakana na ugonjwa huo.
14 July 2023, 4:44 pm
Wakulima wa Jangwani Laikala walia kukosa mavuno ya alizeti
Zao la alizeti limekuwa maarufu kutokana na mafuta yake kupendwa na watu wengi kwa sababu hayachanganywi na kemikali yoyote na bei yake imekuwa ikipanda na kushuka lakini Mei 29 2023 Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde alisema Serikali ipo mbioni…
13 July 2023, 5:58 pm
Fahamu matibabu ugonjwa wa saratani ya jicho
Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma anaeleza juu ya matibabu ya ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan. Leo tunazungumzia utaratibu wa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya jicho kulingana na dalili mbalimbali tukiungana…
12 July 2023, 4:28 pm
Fahamu matibabu na jinsi ya kujikinga na saratani ya jicho
Saratani ya jicho kwa watoto ambapo huanzia miezi kumi na nane na huonekana zaidi kwa watoto chini ya miaka mitano. Na Yussuph Hassan. Baada ya kufahamu juu ya utambuzi wa Ugonjwa wa saratani ya jicho kwa watoto ambapo huanzia miezi…
12 July 2023, 1:32 pm
Makala: Mwananchi unaelewa nini kuhusu Dhamana?
Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu Dhamana. Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi saa nne asubuhi 88.9 Storm FM Sauti ya Geita.…
July 4, 2023, 3:02 pm
Unafahamu kuhusu ugonjwa wa fistula?
Kipindi cha afya ya uzazi kinachorushwa Kahama Fm kila jumapili kuanzia saa 4 hadi saa 5 asubuhi.
4 July 2023, 3:00 pm
Mwezi wa Afya na Lishe
Wazazi wameaswa kuwapeleka watoto wote kupata dawa za minyoo na matone ili kuwakinga na magonjwa yanayotokana na upungufu wa lishe. Afisa lishe amesema hayo wakati akitoa elimu kwa Jamii katika mwezi wa Afya na lishe zoezi linalofanyika mara mbili kwa…
4 July 2023, 2:54 pm
Je mfumo dume unawanyima wanawake nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya habari?
Na Groly Kusaga Wanawake wengi wamekuwa wakikutana na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha katika kutekeleza majukumu yao na kusahau kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya mambo makubwa wanapopewa nafasi ndani ya vyombo vya habari na uongozi kwa ujumla.
July 4, 2023, 2:54 pm