Podcasts
8 August 2023, 9:27 am
Kipindi: Wanawake wavuvi, wakulima wa mwani Pemba na uchumi wa bluu
Wakulima wa kilimo cha mwani shehia ya Michenzani wakikagua zao hilo baada ya kukauka(picha na Amina Masoud)
8 August 2023, 9:27 am
Taarifa ya habari Zenj FM radio 06.08.2023
8 August 2023, 9:26 am
Kipindi cha mwanamke jitambue-Tumbatu
8 August 2023, 8:54 am
Makala: Kilimo cha migomba nchini Tanzania
Radio Adhana FM inakukaribisha kusikiliza makala ya Elimika kuhusu kilimo cha Migomba, sikiliza sauti hapo juu ili kupata faida kuhusu ukulima wa migomba.
7 August 2023, 2:20 pm
Jinsi jamii inavyopambana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto
Familia zinaaswa kuacha kumaliza kesi hizi kifamilia kwani inakuwa haisadii mtu anae fanya vitendo hivi anaweza kufanya kwa mtu mwingine. Na Leonard Mwacha. Jamii inashauriwa kuacha kufumbia macho ukatili dhidi ya watoto hasa ukatili wa kingono kwani umekuwa ukiwaathiri zaidi…
5 August 2023, 14:58 pm
Makala: Matumizi bora ya gesi ya kupikia majumbani
Na Musa Mtepa Makala haya yanasimulia matumizi bora ya nishati ya kupikia majumbani maarufu kama gesi ya kupikia, ambapo mkoani Mtwara tayari wananchi wanatumia mitungi ya kampuni mbalimbali za gesi kwa ajili ya kupikia pia tayari kuna mtandao wa gesi…
3 August 2023, 4:43 pm
Ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii
Utandawazi unatajwa kuwa na ukombozi wa kupunguza vitendo hivi vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii. Na Mariam Matundu. Mariam matundu amezungumza na Bwana Stanley Nyambuya yeye alikuwa anafanya shughuli ya kukeketa mabinti hapo zamani lakini kwa sasa ameacha.
3 August 2023, 4:19 pm
Zifahamu shughuli za kiuchumi zinazochangia uharibifu bwawa la Hombolo
Serikali imekuwa ikiwasisitiza wavuvi kuwa na leseni lakini watu wengi wa eneo hili hawafuati utaratibu ili kutunza samaki wanao patikana katika bwawa hilo. Na Yussuph Hassan. Shughuli za kiuchumi zimekuwa zikiendeshwa kwa muda mrefu katika bwawa hili lakini shughuli za…
3 August 2023, 14:21 pm
Kipindi: Watanzania wengi wanaishi kwenye dhana ya ndoa na sio Ndoa
Na Musa Mtepa Akizungumza katika kipindi maalumu kinachorushwa na jamii FM redio cha tarehe 25/07/2023,Hakimu Mkazi kutoka mahakama ya Mwanzo Mkoani Mtwara Ndugu Alex Robert amesema baada ya ndoa kufungwa inapaswa kusajiriwa katika taasisi ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na…
31 July 2023, 4:53 pm
Historia ya bwawa la Hombolo
Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…