Dodoma FM

Uwekezaji

4 December 2023, 4:45 pm

Ujenzi daraja la Munguri kuanza Januari mwakani

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema daraja hilo ni lazima lijengwe kwa kuwa ni daraja la kitaifa. Na Nizar Mafita. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amethibitisha  ujenzi wa daraja la Munguri kuanzia mwezi Januari mwakani. Akitoa maelezo mafupi kwa Waziri…

7 November 2023, 3:42 pm

Chama cha mafundi kuboresha mazingira ya kazi zao Dodoma

Ufundi ni moja kati ya tasnia yenye mchango mkubwa katika kuanzisha ukuaji wa miji. Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa uwepo wa chama cha mafundi rangi na ujenzi Mkoani Dodoma itasaidia kwa kiasi kuboresha mazingira ya kazi kwa mafundi hao. Kutokana…

31 October 2023, 10:49 am

Wakandarasi watakiwa kuzingatia matakwa ya jiji la Dodoma

Huu ni mpango wa Uboreshaji wa Miundombinu katika miji ya Tanzania ujulikanao kama TACTIC  unaofanywa na wakandarasi watatu. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi waliopewa miradi ya kujenga miundombinu ya barabara katika jiji…

24 October 2023, 11:58 am

Wakazi wa Chisamila na Manzase kuondokana na kero ya barabara

Bajeti ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini imekuwa ikiongezeka kutoka Shilingi bilioni 272.56 mwaka 2020/21 hadi Shilingi bilioni 722 katika mwaka wa fedha 2021/22 sawa na ongezeko la asilimia 185. Na Mindi Joseph. Zaidi ya millioni…

9 October 2023, 8:16 pm

Vilindoni yakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo

Shule zinapaswa pamoja na mambo mengine kuwa na vyoo bora na vya kutosha kwa walimu na wanafunzi. Na Mindi Joseph. Shule ya Msingi Vilindoni inakabiliwa na uhaba wa matundu ya vyoo 15. Shule hiyo inajumla ya matundu 9 ya vyoo…

28 September 2023, 10:40 pm

Madarasa mapya kupunguza msongamano wa wanafunzi Makulu

Ujenzi wa Madarasa Matano katika shule ya Dodoma Makulu tayari umekamilika huku ushiriki wa wananchi katika ujenzi huo ukitajwa kuwa mkubwa. Na Mindi Joseph. Shilingi milion 100 zimetumika katika ujenzi wa madarasa 5 katika shule ya msingi Dodoma Makulu na…

28 September 2023, 9:44 pm

Mlebe waiomba serikali kukarabati barabara

Ubovu wa miundombinu ya barabara umekuwa ukikwamisha shughuli za uchumi kwa wananchi kwani wanashindwa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji cha Mlebe Wilayani Chamwino wameiomba serikali kuwakarabatia barabara inyaounganisha kijiji hicho na Mjini ili…