Dodoma FM

Ukatili

June 10, 2025, 6:46 pm

Walimu wapewa rai kufundisha kwa weledi

Walimu wote nchini watakiwa kufundisha kwa weledi nakujua kuwa watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwako katika kuleta mapinduzi makubwa ya kimaendeleo katika sekta ya elimu Na Mariam Mallya Naibu Waziri wa Tamisemi anayeshughulikia elimu, Zainab Katimba amesema hayo wakati akizindua…

10 June 2025, 18:14

Polisi Mbeya latoa onyo kwa madereva wazembe

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limetoa onyo kali kwa madereva wazembe kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuzuia ajali na kulinda maisha ya watumiaji wote wa barabara Na Samwel Mpogole Siku moja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

June 10, 2025, 3:06 pm

Sh 2.9 bilioni kujenga daraja Momba

Imeelezwa kuwa daraja hilo pindi litakapokamilika litawasidia wananchi wa halmashauri ya Momba na Tunduma kurahisisha shughuli za usafirishaji yakiwepo mazao. Na: Denis Sinkonde Momba.Serikali imeanza ujenzi wa daraja lenye urefu wa mita 54 linalounganisha halamashauri ya Momba na Tunduma wilaya…

12 May 2025, 2:36 pm

Mwanamke na uongozi katika jamii za kifugaji

Jamii za kifugaji zimekuwa haziwapi nafasi wanawake ya kuwa viongozi kutokana na mfumo dume. Wengi wa wanajamii kutoka ndani ya jamii hiyo wakiwa na imani kwamba mwanamke hawezi kuongoza wanaume. Na Saitoti Saringe

30 April 2025, 5:36 pm

Amuua baba yake na kumkata sehemu za siri

Taswira ya habari imezungumza na mashuhuda pamoja na mwenyekiti wa kijiji hicho juu ya tukio hilo. Na Kitana Hamis. Kijana mmoja aliye Famika kwajina la Mohamed Khamisi mwenye umri wa Miaka 22  Mkazi wa  Ndirigishi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara  amemuuwa…

5 April 2025, 8:29 am

Katibu mpya CCM Hai akabidhiwa ofisi

Katibu mpya CCM Hai apokelewa kwa matarajio makubwa ya mageuzi ya kisiasa Na James Gasindi. Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hai,  tarehe 4 Aprili 2025, imeshuhudia tukio muhimu la makabidhiano rasmi ya ofisi ya Katibu…

6 March 2025, 6:09 pm

Mbaroni kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka 6 Kiteto

Mpaka sasa jumla ya mashahidi wanne (4) upande wa mashtaka wametoa ushahidi wao, mshtakiwa amerejeshwa rumande hadi 19/03/2025 kesi hiyo itakaposikilizwa tena . Na Kitana Hamis.Ally Bahi mwenye Umri wa miaka 37 Mkazi wa Kijiji Cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani…