Ukatili
8 December 2021, 2:20 pm
Jamii yatakiwa kuondoa hofu juu ya kuripoti matukio ya ukatili
Na; Shani Nicolaus . Wakati Tanzania ikiendelea kuungana na mataifa mengine katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia jamii imetakiwa kuondoa hofu juu ya kuripoti kesi za ukatili. Akizungumza na Dodoma fm msimsamizi mkuu wa dawati la jinsia…
7 October 2021, 12:16 pm
Wakazi wa Mpwayungu waaswa kuacha kuendekeza undugu katika masuala ya ukatili dh…
Na; Alfred Bulahya. Wakazi wa kata ya Mpwayungu wilayani Chamwino mkoani Dodoma, wametakiwa kuacha kuendekeza undugu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto na badala yake washirikiane na mamlaka zinazosimamia masuala hayo ili kukomesha vitendo hivyo.…
27 September 2021, 12:08 pm
Ripoti za matukio ya ukatili dhidi ya wanaume jijini Dodoma zaongezeka
Na; Shani Nicolaus. Imeelewza kuwa muitikio wa kuripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanaume jijini Dodoma umeongezeka. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa wa jinsia na watoto kutoka Kituo kikuu polisi Dodoma Maicko Nkinda Sabuni amesema kuwa kumekuwa na…
27 August 2021, 12:54 pm
Jamii yatakiwa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mtoto wa kike ili kumuandaa mama…
Na; Benard Filbert. Jamii inakumbushwa kupinga ukatili wa kijinsia kwa watoto wakike hali itakayosaidia kumuandaa mama mwenye malezi bora kwa familia yake hapo baadae. Hayo yameelezwa na Bi. Stellah Matelu kutoka shirika lisilo la kiserikali la Action For Community Care…
2 August 2021, 1:34 pm
Wanaume na wavulana wahitaji elimu zaidi ili kutoa taarifa ya vitendo vya ukatil…
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa bado kuna ukimya unaoendelezwa na baadhi ya Wanaume na Wavulana wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa katika jamii hali ambayo inawasababishia madhara makubwa mbeleni. Wakizungumza na taswira ya habari wakazi jijini Dodoma wamesema kuwa ili kupiga hatua…
22 July 2021, 2:35 pm
Immelezwa kuwa mila potofu katika jamii zinachangia watu kushindwa kutoa taarifa…
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika vyombo vya usafiri hasa wa umma vimekithiri ingawa bado watu wana uelewa mdogo kuhusu ukatili huo. Akizungumza na Dodoma Fm mkaguzi wa polisi dawati la jinsia Teresia Mdendemi amesema…
9 July 2021, 11:31 am
Elimu itasaidia watoto kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwa urahisi zaidi
Na; Joan Msangi. licha ya juhudi kubwa za serikali pamoja na mashirika mengne ya haki za binadamu kuendeleza upingaji wa vitendo vya ukatili wa kijinsia bado matukio hayo yanaendelea ambapo takribani watoto 40 elfu wanapitia hali hiyo. Wakizungumza na taswira…
28 May 2021, 1:04 pm
Wazazi wachangia kuchelewesha upatikanaji haki vitendo vya ukatili dhidi ya wat…
Na; Mariam Matundu. Baadhi ya Wazazi na walezi Mkoani Rukwa wameelezwa kuchangia kuchelewesha upatikanaji wa haki kwa waathirika wa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto. Akizungumza na wadau wa Jukwaa la Haki Jinai Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Afya-…
27 May 2021, 2:32 pm
Jamii imetakiwa kushiri kikamilifu katika kupiga vita ukatili wa kijinsia
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushirikiana kwa karibu na Serikali katika vita dhidi ya ukatili wa kijinsia zikiwemo mimba kwa wanafunzi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wanafunzi wa kike wa shule mbalimbali jijini hapa wamesema miongoni mwa sababu…
13 May 2021, 1:00 pm
Wahanga , ukatili wa kijinsia walalamika kusubirishwa muda mrefu wanapokwenda ku…
Na;Mindi Joseph. Moja ya changamoto inayotajwa kuwakabili wahanga wa ukatili wa kijinsia ni kusubirishwa kwa muda mrefu wanapokwenda hospitali kupatiwa matibabu wakati mwingine kutopata matibabu. Ili kufahamu kiini cha changamoto hiyo na hatua wanazochukua pindi wanapowapokea wahanga wa vitendo hivyo…