Dodoma FM

Miundombinu

28 September 2023, 10:40 pm

Madarasa mapya kupunguza msongamano wa wanafunzi Makulu

Ujenzi wa Madarasa Matano katika shule ya Dodoma Makulu tayari umekamilika huku ushiriki wa wananchi katika ujenzi huo ukitajwa kuwa mkubwa. Na Mindi Joseph. Shilingi milion 100 zimetumika katika ujenzi wa madarasa 5 katika shule ya msingi Dodoma Makulu na…

28 September 2023, 9:44 pm

Mlebe waiomba serikali kukarabati barabara

Ubovu wa miundombinu ya barabara umekuwa ukikwamisha shughuli za uchumi kwa wananchi kwani wanashindwa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji cha Mlebe Wilayani Chamwino wameiomba serikali kuwakarabatia barabara inyaounganisha kijiji hicho na Mjini ili…

27 September 2023, 5:42 pm

Wanafunzi 180 wa kidato cha tano hawajaripoti shuleni Msalato

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametembela Jumla ya Miradi Mitatu inayoendelea Jijini Dodoma ikiwemo Ujenzi wa Mabweni Mawili ya Shule ya Sekondari Msalato, Hospitali ya Wilaya inayojengwa katika Kata ya Nala na Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mpamaa…

20 September 2023, 4:45 pm

Hombolo Makulu walia na uchakavu wa shule

Mazingira magumu au uchakavu wa miundombinu ya shule pamoja ongezeko la wanafunzi ni moja ya changamoto zinazo ikabili sekta ya elimu. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Hombolo Makulu wamelalamikia uchakavu wa miundombinu ya shule yao ya msingi hali…

13 September 2023, 5:46 pm

Wananchi Membe waomba semina zaidi mradi wa bwawa

Mradi huo wa kilimo cha umwagiliaji unatarajia kuchukua takribani hekari 8000 ambapo ndani yake ndipo yanapatikana mashamba ya wananchi wanao hitaji kufahamu hatima ya mashamba hayo. Na Victor Chigwada. Uelewa wa wananchi wa Kijiji cha Membe wilayani chamwini kuhusu Mradi…

6 September 2023, 2:27 pm

Upungufu wa madarasa Vilindoni wasababisha mrundikano wa wanafunzi

Jumla ya madarasa 19 yanahitajika kujengwa katika shule hiyo ili kupunguza mrundikano wa wananfunzi darasani. Na Mindi Joseph. Upungufu wa madarasa katika shule ya msingi Vilindoni umesababisha mrudukano wa wananfunzi darasani. Darasa moja wanafunzi wanakadiriwa kukaa 90 hadi 100. Hapa…