Dodoma FM

Miundombinu

29 February 2024, 4:06 pm

Ubovu wa mitaro wapelekea maji kutuama kwa wingi Kizota

Ni mtaro ambao ulitengenezwa pasipo kuzingatia vigezo vya ujenzi. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa Mtaa wa Relini Kata ya kizota wamelalamika kutuama kwa maji ya mvua kutokana na ubovu wa mitaro ya kutiririsha maji. Ni mtaro ambao ulitengenezwa pasipo kuzingatia…

7 February 2024, 5:29 pm

Shule ya msingi Iboni yawezeshwa ujenzi wa mabweni

Shule ya msingi Iboni ni shule pekee mkoani dodoma inayotoa elimu ya kawaida na elimu ya vitengo maalumu wakiwemo wanafunzi wasiiona, viziwi, usonji na ulemavu wa akili na viungo huku baadhi yao wakitembea umbali mrefu kufika shuleni. Na Nizar Mafita.Shule…

4 February 2022, 3:55 pm

Ubovu wa barabara wakwamisha baadhi ya shuguli za maendeleo

Na; Victor Chigwada. Kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha Jijini hapa maeneo mengi yenye barabara za kawaida hususani vijijini yamekuwa yakiathirika kwa kiasi kikubwa na hata kukwamisha baadhi ya shughuli za maendeleo. Wananchi wa Kata ya Loje ni miongoni mwa…

26 January 2022, 4:16 pm

Wakazi wa Nzuguni waiomba Serikali iwaboreshee barabara

Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi katika Kata ya Nzuguni  jijini Dodoma wameiomba Serikali iwaboreshee miundombinu ya barabara pamoja na daraja katika mto unaotenganisha Nzuguni A na B ambapo umekuwa changamoto wakati wa mvua. Wakizungumza na Taswira ya habari wananchi…

24 January 2022, 3:30 pm

DUWASA kufichua waharibifu wa miundombinu ya maji

Na; Benard Filbert. Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jijini Dodoma DUWASA inaendelea na kampeni yake ya kufichua waharibifu wa miundombinu ya maji ili kukomesha vitendo hivyo. Hayo yanajiri kufuatia kuwepo kwa uharibifu wa baadhi ya miundombinu ya…

16 December 2021, 1:57 pm

Wakazi wa Ntyuka wametakiwa kuacha kupitisha mifugo barabarani

Na; Benard Filbert. Wafugaji katika Kata ya Ntyuka jijini Dodoma wametakiwa kuacha kupitisha mifugo yao barabarani ili kuepuka uharibifu wa barabara. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata hiyo Bw.Yona Mrema wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu utunzaji wa miundombinu…