Dodoma FM

mawasiliano

3 May 2023, 4:39 pm

Vijana waonywa kuporomoka kwa Maadili

Wamewashauri wazazi kukagua matumizi ya vipindi vya Televisheni majumbani mwao ili kuwaepusha watoto na vipindi viovu vinavyoweza kuharibu maadili yao. Na Bernad Magawa. Katika kuhakikisha kuwa Taifa linaendelea kuwa na vijana wenye maadili, baadhi ya wazee Wilayani Bahi wameiomba serikali…

1 May 2023, 3:45 pm

Serikali kuboresha Ranchi ili kupanua soko nje ya nchi

Akisoma taarifa meneja wa Ranchi ya Kongwa bwana Elisa Binamungu amesema shilingi bilioni 4.65 zilitengwa Kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kuboresha ranchi hiyo ikiwa ni pamoja na kutengeneza Barabara, kuondoa vichaka hekari 8000 kwaajili ya kustawisha mifugo. NA Bernadetha Mwakilabi.…

21 April 2023, 3:02 pm

Wanufaika Tasaf walalamika malipo kuchelewa

Mpaka sasa miradi hiyo ipo katika hatua nzuri za utekelezaji kwani hadi kufikia julai mwaka huu wataanza kutekeleza awamu ya pili ya miradi hiyo. Na Bernadetha Mwakilabi Wanufaika wa mfuko wa kusaidia kaya masikini TASAF wilayani Kongwa wamelalamikia Kuchelewa kwa…

18 April 2023, 3:39 pm

Dc kongwa akerwa na ubadhirifu wa fedha 6,394,000/=

Katika taarifa iliyosomwa inaonyesha kiasi cha shilingi milioni 6,394,000 hazijathibitika matumizi yake NA Bernadetha Mwakilabi, Kongwa Mkuu wa wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Remidius Mwema Emmanuel ameagiza ofisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU wilaya ya Kongwa kufanya uchunguzi juu…

17 April 2023, 2:20 pm

Yafahamu maajabu na ishara za mnyama adimu Kakakuona

Mnyama huyu anapo onekana katikajamii nini huwa kinafanyika. Na Yussuph Hassan. Jamii nyingi huamini ishara za mnyama huyo kwani anapo onekana wanajamii huwa na hamu ya kufamamu ni nini ambacho atatabiri katika jamii hiyo hivyo hufanya mila ikiwemo kupiga ngoma…

11 April 2023, 1:34 pm

Jamii yatakiwa kuchukua mikopo kwa malengo

Wananchi wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye mikopo ambayo baadae huwa changamoto kwao. Na Leonard Mwacha. Jamii imepaswa kuepuka mikopo ambayo hugeuka kuwa changamoto kwao badala yake wafuate utaratibu wa kifedha ili kuweza kukopa kwa malengo.