Dodoma FM

mawasiliano

28 June 2023, 2:30 pm

Jamii inaamini nini kuhusu waraibu wa dawa za kulevya?

Maadhimisho ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya yalifanyika kitaifa mkoani Arusha Juni 25 mwaka huu. Na Respishas Lopa. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameonesha utayari wao wa kuwapokea waraibu wa dawa za kulevya na kushirikiana nao katika…

26 June 2023, 12:17 pm

Wazazi watakiwa kuwajali watoto wenye ulemavu

Wazazi wanakumbushwa kuendelea kuwajali watoto wenye ulemavu kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yao muhimu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mariam Kasawa. Wazazi wametakiwa kuwajali na kuwathamini watoto wenye ulemavu kwa kuwapatia elimu ili waweze kutimiza ndoto zao . Ni katika…

22 June 2023, 3:18 pm

Wabobezi wa masuala ya jinsia waagizwa kutambua ahadi za nchi

Programu hiyo ya kizazi chenye usawa itakayotekelezwa kwa miaka mitano (2021/22 – 2025/26). Na Mariam Matundu. Wataalamu wabobezi wa masuala ya jinsia wameagizwa kutambua masuala yaliyowekewa Ahadi za nchi katika Jukwaa la kizazi chenye Usawa (GEF) ili kutekeleza Programu ya…

6 June 2023, 6:46 pm

Jamii yashauriwa kujenga tabia ya kufanya tafiti mbalimbali

Mradi wa ALiVE-Tanzania una lengo la kufanya tafiti na  kupima stadi za maisha na maadili kwa vijana Nchini. Na Fred Cheti. Jamii imeshauriwa kujenga desturi  ya kufanya tafiti mbalimbali katika maeneo yao na kubaini changamoto zilizopo ili kupunguza baadhi ya…

5 June 2023, 6:16 pm

NIDA, shirika la Posta waingia ubia usambazaji vitambulisho

NIDA imeingia ubia na shirika la Posta katika zoezi la usambazaji wa vitambulisho. Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ikiwa ni njia pekee ya kufanikisha lengo la serikali la kuboresha utoaji wa huduma…

23 May 2023, 3:52 pm

Miaka 65 ya ndoa: Wafariki na kuzikwa siku moja

Tukio hilo la aina yake limewatafakarisha watu wengi maeneo hayo huku wengine wakidai ni msiba wa aina yake ambao umevuta hisia za watu wengi na kuweka historia kwa waombolezaji waliofika msibani hapo. Na. Bernad Magawa . Katika hali ambayo si…

22 May 2023, 4:41 pm

DC Kongwa: Ni haki ya wananchi kujua mapato na matumizi

Wananchi wametakiwa kuhoji jambo lolote kwa viongozi wao ambalo hawalielewi ili waweze kupatiwa ufumbuzi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amewataka wananchi, wenyeviti wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanahudhuria mikutano ya baraza la…

17 May 2023, 3:03 pm

NIDA yatoa vitambulisho 62,258 Kongwa

Changamoto wanazopitia wananchi katika vitambulisho vya Taifa ni pamoja na kushindwa kutimiza vigezo na masharti ya kujaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo hali inayopelekea ofisi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)…