Dodoma FM

mawasiliano

5 October 2022, 2:06 pm

Wenyeviti Njoge walia na posho

Na ;Victor Chigwada.  Licha ya kufunguliwa akaunti za Benki kwa ajili ya kulipwa Posho ,bado hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya utekelezaji wa malipo hayo kwa Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji. Wenyeviti wa mitaa,vijiji na vitongoji ni miongoni mwa viongozi…

5 October 2022, 1:50 pm

Pombe yapelekea wanaume kupata vipigo toka kwa wake zao

Na; Benard Filbert. Unywaji wa Pombe kupitia kiasi umetajwa kuchangia wanaume katika kijiji cha Kwa mtoro wilayani Chemba kupigwa na wanawake zao. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taswira ya Habari baada kufika kijiji hapo umebaini kuwa baadhi ya wanaume…

23 June 2022, 2:43 pm

Wakazi wa mgodi wa Nholi waomba kupatiwa huduma za kijamii

Na; Victor Chigwada. Kukosekana kwa huduma za kijamii katika maeneo ya migodini kumekuwa kukisababisha changamoto mbalimbali licha ya migodi kuwa chanzo cha mapato kwa serikali. Mkemia mkuu wa mgodi mwa Nholi Bw.Renatusi Lukumila amekiri kuwa mgodi wa Nholi bado miongoni…

4 June 2021, 9:14 am

Dkt. Ndugulile ataka wasiolipa kodi waondolewe

Na; Mariam kasawa. Waziri‌ ‌wa‌ ‌Mawasiliano‌ ‌na‌ ‌Teknolojia‌ ‌ya‌ ‌Habari‌ ‌Mhe.‌ ‌Dkt.‌ ‌Faustine‌ ‌Ndugulile‌ ‌(kulia)‌ ‌akimsikiliza‌ ‌Meneja‌ ‌wa‌ ‌TEHAMA‌ ‌wa‌ ‌Shirika‌ ‌la‌ ‌Posta‌ ‌Tanzania‌ ‌Reuben‌ ‌Komba‌ ‌(kushoto)‌ ‌alipokuwa‌ ‌anawasilisha‌ ‌maelezo‌ ‌kuhusu‌ ‌mifumo‌ ‌ya‌ ‌TEHAMA‌ ‌iliyotengenezwa‌ ‌na‌ ‌Shirika‌ ‌hilo‌ ‌wakati‌ ‌wa‌…

22 April 2021, 10:23 am

Vijana wajengewa uwezo kupitia shindano la usalama mtandaoni

Na; Mindi Joseph. Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itaendelea kuboresha mawasiliano bora na salama kwa watumiaji kufuatia idadi ya watumiaji wa mtandao kufika milioni 27.9 Desemba 2020 mwaka ulio pita. Akizungumza wakati wa kufunga shindano la pili la masuala…