Dodoma FM

mawasiliano

7 September 2023, 1:00 pm

Maafisa ustawi jamii watakiwa kutoa elimu ya afya ya akili

Mkutano wa Maafisa ustawi wa jamii umefunguliwa jana jijini Dodoma ambao utadumu kwa muda wa siku mbili na kuwakutanisha maafisa ustawi wa jamii Nchi nzima ili kujadili namna ya kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi. Na Yussuph Hassan. Maafisa ustawi wa…

5 September 2023, 3:35 pm

Watoto wasaidiwe kuvuka barabara ili kuepusha ajali

Kundi la watoto ni miongoni mwa makundi yanayohitaji misaada hususani pale wanapokuwa katika maeneo ya barabara ili kuepukana na ajali zinazoweza kutokea. Na Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushiriki katika suala la kuwasadia watoto pale wanapoelekea shuleni na maeneo mengine ya…

31 July 2023, 6:33 pm

Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Jamii imeendelea kusisitizwa kutowaficha watoto wenye changamoto ya ulemavu wowote bali iwaweke wazi ili waweze kupatiwa mahitaji ya msingi ikiwemo elimu. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na…

4 July 2023, 7:28 pm

Mitaala mipya ni chachu ya vijana kujiajiri

Serikali ilitoa fursa kwa wananchi kutoa maoni yao juu ya maboresho ya rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na rasimu ya Mitaala ya elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu. Na Aisha Shaban.…

28 June 2023, 4:25 pm

Serikali kuzitumia ripoti za uwajibikaji kukuza utawala bora

Taasisi ya Wajibu wamezindua Ripoti za Uwajibikaji ambapo ni nne ikiwemo Ripoti ya viashiria vya Rushwa, ubadhirifu na Udanganyifu katika Taasisi za Umma, Ripoti  ya uwajibikaji wa Vyombo vya Usimamizi kwa Taasisi za Umma. Na Seleman Kodima.  Naibu katibu mkuu…

28 June 2023, 2:30 pm

Jamii inaamini nini kuhusu waraibu wa dawa za kulevya?

Maadhimisho ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya yalifanyika kitaifa mkoani Arusha Juni 25 mwaka huu. Na Respishas Lopa. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameonesha utayari wao wa kuwapokea waraibu wa dawa za kulevya na kushirikiana nao katika…