Vijana
09/06/2023, 13:12
Msanii wa kizazi kipya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao
Na Lonard Mwacha. Msanii wa kizazi kipya kutoka Dodoma Suleiya Abdi ameweka wazi dhamira yake ya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao kutokana na mimba za utotoni ili waweze kujikwamua kiuchumi.
08/06/2023, 09:55
Door of Hope wakutana na vijana, wawapa mbinu za utambuzi
Shirika lisilo la kiserikali la DOOR OF HOPE lenye makao yake mkoani Mtwara limekutana na vijana zaidi ya 30 kutoka kata za Jida na Migongo ili kuwajengea uwezo wa utambuzi katika mradi wa Kijana Kwanza ambao unatekelezwa katika halmashauri ya…
17/05/2023, 15:54
Taasisi za vijana zakutana kujadili jinsi ya kufanya kazi pamoja
Mkutano huo umeandaliwa na umoja wa vijana hao kwa kushirikiana na shirika la Foundation for Civil Society FCS. Na Alfred Bulahya. Umoja wa vijana kutoka taasisi zinazofanya kazi kwenye afua za vijana, zimekutaka jijini Dodoma kujadili namna zinavyoweza kufanya kazi…
10/04/2023, 15:19
Vijana wakumbushwa kujiwekea akiba
Mara kadhaa kumekuwepo na baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakihinda vijiweni pasipo kuwa na ajira huku wengi wao wakisema kuwa mitaji ni miongoni mwa changamoto zinazopelekea kushindwa kujiajiri. Na Thadei Tesha. Vijana wametakiwa kutumia vyema nafasi waliyonayo katika kuwekeza kidogo…
4 Aprili 2023, 5:53 mu
Wananchi Mpanda Watoa Maoni Mseto Juu ya Damuchafu
MPANDA Baadhi Ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa maoni mseto juu ya wimbi lililoibuka la watu wanaofanya matukio ya kupora na kuiba mitaani maarufu kama Damu Chafu. Wameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na kituo hiki…
30/03/2023, 18:14
Vijana wazungumzia changamoto za mikopo halmashauri
Vijana hao wamesema kuwa kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa kwani wanatumia muda mwingi kufuatilia fedha hizo. Na Victor Chigwada . Baadhi ya vijana wa kutoka Wilaya ya Chamwino wamezungumzia changamoto wanazozipata katika Halmashauri pindi wanapoenda kuchukua mikopo inayotengwa na serikali…
16/03/2023, 11:25
Noorah ‘Baba Stylz’: Najishauri sana kuendelea na muziki
Na Erick Mallya Ukizungumzia wasanii wa Rap Tanzania wenye mchango mkubwa sana kwenye mitindo na uandishi wa ‘Rappers’ wengi wa kizazi hiki huwezi kuacha kulitaja Jina la Noorah ‘Baba Stylz’. Mpaka sasa Nooraha anwakilisha kundi la ‘Chemba Squad’ lililoanzishwa 1999…
10/06/2022, 14:31
Taasisi za Serikali na binafsi zatakiwa kuwatumia vijana wanao zalishwa vyuoni
Na;Mindi Joseph . Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi,Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo amezitaka taasisi za serikali na binafsi kufungua milango na kuwatumia vijana wanaozalishwa vyuoni ili kujenga umahiri kwa Vijana Nchini Akizungumza leo katika ufunguzi wa Maonesho ya…
08/06/2022, 14:28
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa
Na; Lucy Lister . Vijana jijini Dodoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza na kuacha tabia ya kuchagua kazi. Akizungumza na Dodoma fm Bw. Charles Mathias ambaye anajishughulisha na suala la kuongeza thamani kupitia biashara ya…
18/05/2021, 07:41
Wazazi: Vijana wageuze elimu zao kuwa chanzo cha ajira
Na; Alfredy Sanga Baadhi ya vijana wameeleza jinsi ambavyo kijana anaweza kujiajiri na kutafuta fursa mbali mbali katika kujikwamua kimaisha, badala ya kutegemea kuajiriwa kutokana na ukosefu wa ajira nchini. Wakizungumza na taswira ya habari vijana hao wamesema kitu kikubwa…