
Utalii

21 June 2023, 7:05 am
Bodi ya utalii TTB yaanza kampeni kutangaza utalii Nyanda za Juu Kusini
Mpanga Kipengele ni hifadhi iliyoko katika mkoa wa Njombe ikiwa ni miongoni mwa hifadhi zilizo chini ya mamlakaya hifadhi za wanyamapori Tanzania TAWA ina gharama nafuu ambazo kila mmoja anaweza kuzimudu. Na Hafidh Ally Bodi ya Utalii Tanzania TTB imeanza…

6 June 2023, 4:23 pm
Wananchi wahimizwa kufanya utalii wa ndani
Dhana ya wananchi ya kuamini utalii hufanywa na watu kutoka nje ya nchi inakwamisha sana sekta ya utalii nchini. Na Alfred Bulahya. Kuelekea siku ya maporomoko ya maji duniani, watanzania wametakiwa kuacha kuamini kuwa suala la utalii linafanywa na watu…

19 April 2023, 2:43 pm
Ishara zipi ambazo kaka kuona hutabiri
Je chifu Tupa atamuwekea nini Kaka kuona ili aweze kutabiri ishara zinazo kuja. Na Yussuph Hassani. Hii ni imani ambayo ipo kwenye jamii na tulipo fika katika kijiji cha Makang’wa tulikuwa watu wa kijiji hicho wana hamu kubwa ya kutaka…

28 March 2023, 3:58 pm
Wakazi wa Dodoma wahamasishwa kutembelea vivutio vya utalii
Ili kukuza utalii katika Mkoa wa Dodoma Taasisi mbalimbali, wadau pamoja na wananchi kutembelea katika mapori hayo ya akiba. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule amewataka wananchi,Taasisi pamoja wadau mbalimbali kushiriki kutembelea katika vivutio vilivyopo…

19 March 2023, 7:19 pm
Great Ruaha Utalii Marathon kufanyika Ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha Julai 8…
Mbio za Great Ruaha Utalii Marathon zinatarajia kufanyika Julai 8, 2023 kwa kushirikisha wakimbiaji zaidi ya 600 wakiwemo watalii kutoka nje ya nchi. Na Hafidh Ally SHIRIKA la Sustainable Youth Development Partnership (SYDP) linatarajia kuratibu shindano la mbio za marathon…

14 March 2023, 12:04 pm
Wananchi Wahimizwa kufanya utalii wa ndani Jijini Dodoma
Wananchi Mkoani Dodoma wamehimizwa kuwa na utaratibu wa kufanya utalii wa ndani ukiwemo utalii wa matukio, kwenda maeneo maarufu mkoani hapo, ikiwemo pia na maeneo ya mashamba makubwa yanayolima zao la zabibu. Na Fred Cheti. Katika Kuufanya Mkoa wa Dodoma…

8 March 2023, 7:34 pm
Balozi Isabella atimiza ahadi ya kuwapeleka walemavu wa Lulanzi Hifadhi ya Ruah…
Ziara ya kuwapeleka walemavu wa Kijiji cha Lulanzi katika hifadhi ya Taifa ya Rauha, ili kutalii na kujionea vivutio vilivyopo katika hifadhi hiyo. Na Hafidh Ally Balozi wa Utalii Nchini Tanzania Bi. Isabella Mwampamba ametimiza ahadi ya kuwapeleka kufanya Utalii…

16 December 2022, 5:38 pm
Watalii kufurahia utalii wa kulisha wanyama- Bateleur Safari yawaahidi furaha
Utalii wa kulisha wanyama umetajwa kuwafurashisha zaidi watalii pindi wanapoenda katika ziara Hiyo ambayo safari hii itafanyika huko Jijini Arusha. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Kitengo Cha Masoko kutoka kampuni ya usafirishaji watalii ya Bateleur Safari & Tours iliyopo Mkoani…

12 December 2022, 11:14 am
Wananchi iringa wahimizwa kufunga mwaka kwa kufanya utalii wa Kulisha wanyama
Kampuni ya usafirishaji watalii ya Bateleur Safari & Tours Mkoa wa Iringa inatarajia kufanya ziara ya utalii ya kufunga mwaka 2022. Akizungumza na Nuru Fm, Mkurugenzi wa Kampuni Hiyo Rajipa David amesema kuwa kuelekea kufunga mwaka 2022 wameandaa Ziara iliyopewa…

23 November 2022, 1:45 pm
Wananchi watakiwa kujitokeza kupata elimu ya utalii.
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameombwa kujitokeza kwenye tamasha la utalii katika eneo la Nyerere square tarehe 26 mwezi huu kwa lengo la kupata elimu ya utalii. Hayo yameelezwa na Dorothea Masawe kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa…