Radio Tadio

Utalii

9 August 2023, 17:56 pm

Uzinduzi msimu utalii wa nyanguni Msimbati

Na Grace Hamisi Wananchi wa kata ya Msimbati mkoani Mtwara wametakiwa kujipanga na kupokea mabadiliko juu ya wageni wanaotembelea na kujifunza vivutio mbalimbali vilivyopo katika maeneo hayo. Wito huo umetolewa August 5, 2023 na Bi Esha Chilonda afisa mtendaji wa…

4 August 2023, 10:09

Jamii yatakiwa kuzingatia maadili

Maadili nchini yanaonekana kuendelea kuporomoka hali inayosababisha jamii kuendelea kupotoka na kusababisha jamii kuwa katika hali ngumu ya maisha hasa kufanyiwa ukatilii. Na, Josephine Kiravu Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa Kujiepusha vitendo vilivyo kinyume na maadili ya Kitanzania kuanzia ngazi ya…

20 July 2023, 5:06 pm

Ifahamu maana halisi ya jina Bahi

Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…

7 July 2023, 6:01 pm

CWT Bahi ahadi kibao baada ya safari ya Serengeti

Ni msafara wa walimu 42 kutoka halmashauri ya Bahi mkoani Dodoma kwenda kutalii katika hifadhi  ya taifa ya Serengeti baada ya Halmashauri hiyo kushika nafasi ya kumi kitaifa katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2023 ambapo safari hiyo…

28 June 2023, 12:42 pm

Idadi ya watalii wa ndani yaongezeka

Na: Kale Chongela: Idadi ya watalii wazawa katika Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato imeendelea kuongezeka kutokana na hamasa inayoendelea kutolewa kwa wananchi  ikiwemo filamu ya Royal Tour ambayo imekuwa na msukumo mkubwa kwa wakazi wanaozunguka hifadhi hiyo kutembelea kujionea…

6 June 2023, 4:23 pm

Wananchi wahimizwa kufanya utalii wa ndani

Dhana ya wananchi ya kuamini utalii hufanywa na watu kutoka nje ya nchi inakwamisha sana sekta ya utalii nchini. Na Alfred Bulahya. Kuelekea siku ya maporomoko ya maji duniani, watanzania wametakiwa kuacha kuamini kuwa suala la utalii linafanywa na watu…

19 April 2023, 2:43 pm

Ishara zipi ambazo kaka kuona hutabiri

Je chifu Tupa atamuwekea nini Kaka kuona ili aweze kutabiri ishara zinazo kuja. Na Yussuph Hassani. Hii ni imani ambayo ipo kwenye jamii na tulipo fika katika kijiji cha Makang’wa tulikuwa watu wa kijiji hicho wana hamu kubwa ya kutaka…

28 March 2023, 3:58 pm

Wakazi wa Dodoma wahamasishwa kutembelea vivutio vya utalii

Ili kukuza utalii katika Mkoa wa Dodoma Taasisi mbalimbali, wadau pamoja na wananchi kutembelea katika mapori hayo ya akiba. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule amewataka wananchi,Taasisi pamoja wadau mbalimbali kushiriki kutembelea katika vivutio vilivyopo…