Radio Tadio

Afya

23 June 2026, 07:09

Vijana 50 wapatiwa mafunzo mbasa

Vijana 50 wa Kata ya Mbasa, Halmashauri ya Mji Ifakara, wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali, afya ya uzazi na stadi za maisha na Shirika la WISE, yakilenga kuwawezesha kujiajiri na kuboresha maisha yao kiuchumi. Na: Isidory Mtunda Vijana wapatao 50 kutoka…

22 June 2026, 20:23

CRDB yazindua kampeni ya bonge la Wakala Kilombero

Lengo ni kuhakikisha huduma za kifedha zinawafikia wananchi kwa urahisi zaidi kupitia mawakala wetu waliopo karibu na maeneo Na Katalina Liombechi Benki ya CRDB imezindua kampeni ya miezi sita ya “Bonge la Wakala” kupitia huduma ya Simbanking kimpango wako inayolenga…

19 June 2026, 22:06

Uvinza yajiandaa ununuzi wa pamba msimu wa 2025/2026

Mpango huo umetajwa na kuwa na manufaa kwa wakulima iwapo utasimamiwa vizuri na kuhakikisha wakulima wanapata faida Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Dinah Mathamani, ameongoza kikao cha wadau wa zao la pamba kilichofanyika Juni 19, 2025…

8 June 2026, 11:15 am

Sagayika alaani tukio la mwanafunzi kubakwa Chato

Jeshi la Polisi limeeleza kuwa uchunguzi wa tukio hilo unaendelea huku likiwataka wananchi kuendelea kushirikiana na vyombo vya dola katika kutoa taarifa zitakazosaidia kukamilisha uchunguzi na kuhakikisha haki inatendeka. Na Mrisho Sadick: Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambae…

4 June 2026, 11:48 am

Kasulu washauriwa kutumia mamlaka kusuluhisha migogoro ya ardhi

Mkaguzi msaidizi wa polisi ( A/Insp.) Willy Lupa ambaye ni Polisi kata ya Nyamunyusi amesema wananchi wanaokumbana na migogoro ya aridhi kusuluhisha katika mamalaka husika kabla ya kufikishana polisi. Na; Paulina Majaliwa Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kusuluhisha migogoro…

19 May 2026, 16:01

Wanunuzi wa mazao wakutana na changamoto ya mizani Kigoma

Siku ya Vipimo duniani huadhimishwa kila tarehe 20 Mei kila mwaka na siku hii inalenga kuhamasisha matumizi sahihi ya vipimo katika biashara, viwanda na maisha ya kila siku na vipimo sahihi vina mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi na kulinda…

14 May 2026, 12:50

UKICU yapokea mizani kidigitali 70

Chama Kikuu cha Ushirika Ulanga Kilombero (UKICU) kimepokea mizani 70 za kidigitali kutoka kampuni ya ROTAI kwa lengo la kuboresha usahihi wa vipimo vya mazao na kuongeza uwazi kwa wakulima kupitia mfumo wa kidigitali unaotuma taarifa moja kwa moja kwenye…