Radio Tadio

Ulinzi

23 May 2023, 10:34 am

Wanne Wakamatwa na Meno ya Tembo Katavi

KATAVI Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi wamewakamata watu wanne wakiwa na meno ya Tembo vipande 13 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 247. Kamanda wa Polisi wa Mkoa…

22 April 2023, 9:38 am

Ulinzi Waimarishwa Sikukuu za Eid El Fitr

KATAVI Katika kuelekea sikukuu ya Eid El Fitri Jeshi la polisi mkoa wa Katavi limepanga kuimarisha ulinzi ili kupunguza uvunjifu wa sheria kipindi cha sikukuu. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad…

1 February 2023, 11:59 am

Watano Wahukumiwa Kunyongwa Katavi

KATAVIWatu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa Mkoani Katavi mara baada ya kukutwa na hatia ya mauaji katika matukio mawili tofauti . Jeshi la polisi Mkoa wa katavi Limesema limepata mafanikio mahakamani kutokana na kesi za watuhumiwa wa makosa ya mauaji…

31 January 2023, 12:02 pm

Askari 12 watunukiwa vyeti Iringa

Askari waliotunukiwa vyeti vya utendaji kazi bora wamehimizwa kuwa wazalendo za kuzingatia haki pindi wanapotekeleza majukumu yao. Na Elizabeth Shirima Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP. Allan L. Bukumbi amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 12 na mtumishi raia…

26 September 2022, 1:47 pm

Wanawake wawili Manyara wakamatwa na misokoto 1220 ya bangi

Kiasi cha misokoto 1220 cha madawa ya kulevya aina ya bangi kimekamatwa hapo jana na jeshi la polisi katika kijiji cha mswakini kilichopo wilayani Babati mkoani Manyara. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani humo, kamishna msaidizi wa…

23 September 2022, 5:41 am

Jamii imetakiwa kusalimisha silaha haramu

RUNGWE-MBEYA NA,JUDITH MWAKIBIBI Kutokana na kampeni inayoendelea ya usalimishaji wa silaha kitaifa wananchi wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kusalimisha silaha haramu zinazomilikiwa kinyume na utaratibu. Akizungumza  katika studio za radio chai FM mrakibu wa jeshi   la polisi Wilayanl ya Rungwe…

19 September 2022, 4:34 pm

Kigogo FOA Motors mbaroni akidaiwa kutapeli Sh Mil 150

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, linamshikilia Michael Mbata (34), mfanyabiashara mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma ya kujipatia Sh Milioni 150 kwa njia ya udanganyifu. Akizungumza na wanahabari leo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi,…

19 September 2022, 4:23 pm

Makalla awataka Vijana JKT kupambana na uhalifu

Mkuu wa Mkoa wa Da es Salaam, Amos Makalla amefunga Mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT, yaliyojulikana kama operesheni Jenerali Venance Mabeyo , huku akiwasihi vijana hao kuwa raia wema na kutojihusisha na vitendo vya uhalifu. RC…