Ulinzi
5 February 2024, 5:04 pm
Mwizi wa kuku aua, atokomea kusikojulikana
Wananchi wataka sungusungu kurudishwa ili kukabiliana na vitendo vya uharifu pamoja na wizi wa kuku unaoendelea kutokea kata ya Sungamile Wilayani Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 40 ameuawa kwa kudaiwa kuchomwa na kisu na mtu anayedaiwa…
26 January 2024, 21:45
Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za unyang’anyi Mbeya
Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwaselela Azimio Gerald [31] Mkazi wa ZZK mji mdogo wa Mbalizi na wenzake wawili Furaha Issa [32] na Goodluck Mwakajisi [25] wote…
16 January 2024, 14:34
Serikali kuendelea kuimarisha ulinzi kwa kutoa vitendea kazi
Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe.Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa…
15 January 2024, 13:23
Polisi Kigoma yakamata silaha 16 zinazomilikiwa kinyume na sheria
Jeshi la Polisi Mkoani kigoma limefanikiwa kukamata silaha 16 zilizokuwa zinamilikiwa kinyume na sheria huku washatakiwa 2 wa kesi za kupatikana na hatia wakihukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki silaha…
25 December 2023, 9:54 am
Siha watakiwa kusheherekea sikukuu kwa amani
Wananchi wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro watakiwa kusheherekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya kwa amani na utulivu. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Dkt Christopher Timbuka amesema wamejipanga kuhakikisha usalama wa raia na mali zao katika…
22 December 2023, 17:03
Wazazi, walezi watakiwa kuimarisha ulinzi kwa watoto kipindi cha sikukuu
Na Orida Sayon Wito umetolewa kwa wazazi na walezi mkoani Kigoma kuimarisha ulinzi na usalama kwa watoto katika kipindi hiki cha sikukuu za Kristmas na Mwaka Mpya ili kuwalinda dhidi ya vitendo vinavyowaweka katika mazingira hatarishi. Wito huo umetolewa na…
12 December 2023, 16:48
Kibanda:Tumejipanga kuhakikisha kila raia anasherehekea kwa usalama krismasi na…
Jeshi la polisi wilayani Kyela limewataka wananchi wote kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya kwa utulivu na amani. Na James Mwakyembe Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka krimasi na mwaka mpya Jeshi la Polisi wilayani Kyela limewataka wananchi wote…
29 November 2023, 1:52 pm
Viongozi Zanzibar watakiwa kuhamasisha ulinzi shirikishi
Jukumu la usalama wa wananchi si la Jeshi la Polisi pekee hivyo uwepo wa vikundi hivyo utasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya kihalifu katika jamii. Na Omar Hassan. Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi…
22 November 2023, 6:25 am
Msako kuanza madereva pikipiki wanaokunja namba za usajili
Changamoto ya baadhi ya madereva pikipiki kukunja namba za usajili za vyombo vyao imekuwa kubwa kiasi cha Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kuingilia kati kwa sababu za kiusalama. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limeanza…
13 November 2023, 18:57
34 mbaroni kwa uharifu Mbeya
Na Hobokela Lwinga Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limewakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo utoroshaji madini, uhamiaji haramu, uvunjaji na wasambazaji wa noti bandia. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga amesema wanaoshikiliwa kwa tuhuma za kutorosha…