Radio Tadio

Ujenzi

24/09/2023, 15:08

Vijana Pemba waomba ajira ujenzi uwanja wa ndege

Wananchi waliopisha ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba kuanza kulipwa fidia mara baada ya kukamilika kwa tathmini. Na Is-haka Mohammed Kamati ya  muda ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  inayoratibu  masuala ya ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba imekutana…

14/09/2023, 19:21

Kinanasi: Yajayo Kyela yanafurahisha

Mbunge wa Jimbo la Kyela Ally Mlagila Jumbe Kinanasi ameahidi kutekeleza mambo yote yaliyoombwa na wananchi wa kata ya Bujonde ikiwemo barabara ya kutoka Bujonde kwenda Nyerere ndani ya kata hiyo.  Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi katika…

06/03/2023, 11:40

Mpwapwa yatarajia kuanza  kilimo cha umwagiliaji

Bwawa hilo ambalo linajengwa kati ya kijiji cha Chunyu na Ng’ambi wilayani Mpwapwa hadi sasa umefikia asilimia 30 huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Na Mariam Kasawa Jumla ya shilingi bilioni 27 zimetolewa ili kukamilisha uchimbaji wa bwawa litakalo…

16/02/2023, 15:46

Bilioni 1.172 kujenga barabara kongwa

Wakala wa barabara za mijini na vijijini Tanzania (TARURA) wilayani kongwa wanatarajia kutumia shilingi Bilioni 1.172 kwaajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya barabara katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na Bernadetha Mwakilabi. Meneja wa TARURA Kongwa injinia Peter…

7 Febuari 2023, 2:49 um

Kituo cha Polisi Ifakara ni chakavu-Dc Kyobya

Na Kuruthum Mkata Uchakavu wa Jengo na miundo mbinu mibovu ya umeme katika   Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kilombero kilichopo Ifakara ,imepelekea Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstan Kyobya kuagiza kufanya marekebisho ikiwa ni pamoja na kupaka rangi…