Radio Tadio

Uchumi

20 Machi 2025, 1:23 um

DC Gidarya: Wananchi wa Ipililo tunzeni huu mradi wa maji

Baada ya Serikali kujenga Mradi na kuukadhi kwenu, Jukumu la kuulinda na Kuutunza ni lakwenu wananchi wenyewe , hivyo niwaomba wananchi wa Ipililo lindeni miundombinu ya Maji katika Mradi huu, asitokee mwananchi mmoja akaja kukata mabomba halafu nyie mnamuangalia tu.…

17 Januari 2025, 9:23 mu

Miundombinu mibovu Mpanda stendi kero kwa madereva

“Changamoto wanayoipata madereva ni uwepo wa mashimo ndani ya stend hiyo hali inayopelekea uharibifu wa magari yao“ Na Samwel Mbugi-Katavi Madereva wanaofanya shughuli zao katika stand ya zamani manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi  wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya stend…

16 Januari 2025, 1:09 um

DC Magembe atangaza vita dhidi ya ‘chagulaga’

Wananchi wamesisitizwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama ili kutokomeza utamaduni huo. Na Zaituni Juma Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Cornel Magembe amekemea vikali utamaduni wa baadhi ya wanaume kuwalazimisha wasichana wadogo kuingia nao kwenye mahusiano ya kimapenzi maarufu kama…

16 Agosti 2024, 8:46 um

DC Bunda azindua maktaba Esperanto sekondari

Dkt Vicent Naano Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wanafunzi kutumia vitabu hivyo kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kufanya vizuri kwenye masomo yao. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amezindua maktaba shule ya sekondari…

12 Julai 2024, 13:18

Waumini wa kikristo kugombea nafasi za uongozi Kigoma

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika mhasham Emmanuel Charles Bwatta amewashauri waumini wa dini ya Kikristo mkoani Kigoma kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu. Askofu Bwatta amesema hayo wakati akizungumza katika…

28 Juni 2024, 5:15 um

BoT yazitaka taasisi za kifedha Manyara kujisajili

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutokuchukua mikopo kwa wakopeshaji binafsi ili kuondokana na riba kandamizi pamoja na kujua  sheria itakayo mlinda pindi anapochukua mkopo katika Taasisi za kifedha Na Emmy Peter Tasisi  za huduma ndogo za fedha zinazokopesha fedha wilayani Babati mkoa  wa…

Mei 11, 2024, 5:00 um

Hakuna kupita bila kupingwa-ACT Wazalendo

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu (utemi wa nchi) na wazee wa Kahama, kuwa mtemi/chifu wa kabila la wasukuma na wanyamwezi. Zoezi hilo limefanyika…