Radio Tadio

Siasa

6 October 2026, 13:48

Tamasha la BUHA 2026 kuwaunganisha wana Kigoma

Tamasha la BUHA 2026 linatarajiwa kufanyika Disemba 2026 likiwa na lengo la kuenzi mila na desturi za watu wa Kigoma na elimu mbalimbali ya uraia Na Orida Sayon Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kushiriki tamasha la Buha 2026 jukwaa linalolenga kujenga…

5 October 2026, 16:52

Wazee Kigoma wahofia kupoteza maisha ukosefu wa matibabu

Wakati Dunia ikifanya maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani, Baadhi ya Wazee katika Mkoa wa Kigoma wameomba jamii  na Serikali kuendelea kuwajali na kuwalinda katika Nyanja zote za Maisha ikiwemo kupata matibabu ya uhakika na kwa wakati na watoto kuacha…

1 October 2026, 7:44 pm

Zarau walalamikia ankara kubwa za maji

Pichani ni mita za maji( picha kwa msaada wa mtandao) Wakazi wa Zarau wameeleza changamoto wanazokutana nazo kuhusu ankara za maji na mgao wa maji, huku meneja wa Bodi ya maji Losaa Kia Mhandisi Jery Joseph, akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu…

24 August 2026, 13:47

Wazazi, walezi watakiwa kulea watoto katika maadili Kasulu

Malezi bora kwa watoto ni msingi imara kwa maisha yao ya baadaye Na Hagai Ruyagila Wazazi na Walezi katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika misingi ya maadili mema, ili waweze kuwa na mwenendo mzuri,…

8 August 2026, 6:46 pm

Tantrade yawahimiza usajili wa bidhaa nchini

Wakulima, wazalishaji na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujisajili na kupata nembo ya TANTRADE ili kuongeza utambulisho wa bidhaa zao na kuzifanya zitambulike zaidi katika masoko ya kimataifa. Na Gasper Sambweti Afisa mwandamizi wa biashara wa TANTRADE, Bw. Thomas Peter Mallya amesema…

10 July 2026, 7:10 pm

Kituo cha mafuta chateketea kwa moto Geita

Muonekano wa Kituo cha mafuta Lake Energies kilivyo teketea kwa moto. Picha na Kale Chongela Chanzo cha moto huo kilitokana na gari aina ya Center lenye namba za usajili T799 BEB, ambalo lilikuwa limeingia katika kituo hicho kujaza mafuta. Na…

20 June 2026, 5:31 pm

Mabasi yagongana na kuua mtu mmoja Geita

Jumla ya watu 9 wamejeruhiwa na wengine kunusurika huku mtu mmoja akifariki dunia kutokana na ajali hiyo ambayo ilitokea katika kata ya Nyamigota iliyopo wilaya ya Geita. Na: Ester Mabula Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali…