Radio Tadio

Nishati

13 July 2024, 05:18

Sangoma adaiwa kumbaka binti yake Mbeya

Katika hali ya kushangaza binti mmoja mkoani Mbeya anadaiwa kufanyiwa kitendo cha ukatili na mzazi wake wa kumzaa (Baba) kwa kudaiwa kufanya naye tendo la ndoa. Na Ezekiel Kamanga Masumbuko Sompo (51) mganga wa jadi mkazi wa kijiji cha Nyombwe…

June 11, 2024, 7:00 pm

Fedha za ununuzi wa pamba ni mkopo kutoka TADB

Chama kikuu cha KACU kimepokea mkopo wa shilingi bilioni tisa na milioni miatano kwa ajili ya kununua pamba kwa msimu wa 2024/2025 ambapo kinatarajia kununua pamba kilo milioni 6. Na Leokadia Andrew Chama kikuu cha ushirika KACU wilayani Kahama mkoani…

June 6, 2024, 10:21 am

Wakulima wa zao la Pamba toeni ushirikiano bodi mpya KACU

tutaendelea kufanya kazi kwa ushirikiano ili kukiinua chama kikuu cha KACU pamoja na kutafuta fursa mbalimbali zitakazosaidia kuwainua wakulima Na Leokadia Andrew Wakulima wa zao la Pamba wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa ushirikiano kwa bodi mpya iliyochaguliwa ya chama…

May 27, 2024, 11:11 pm

Wananchi watakiwa kuhifadhi chakula

Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakinunua mazao kwa bei ya chini hali inayosababisha wakulima kuuza chakula na kusahau kukihifadhi ya ajili ya msimu ujao. na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kuhifadhi chakula ili kuepuka…

31 January 2024, 7:09 pm

Serikali: Hali ya umeme nchini yaanza kuimarika

“Yalikuwa ni maelekezo ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha umeme unaimarika katika kipindi cha miezi sita” Na. Anthony Masai Serikali imesema hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini inaendelea kuimarika licha ya kuwepo kwa upungufu…

18 January 2024, 17:03

Mkuu wa wilaya Kasulu ainyoshea kidole Tanesco

Mkuu wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amemtaka meneja wa tanesco kuhakikisha wilaya inakuwa na umeme wa uhakika kutokana na ongezeko la viwanda vidogo vodogo ambavyo haviwezi kuendesha shughuli zake bila nishati hiyo. Kanal Mwakisu amesema hayo…

20 December 2023, 3:16 pm

Chinuguli waomba kuongezewa Nguzo za umeme

Licha ya shughuli za ufungwaji wa nyaya za umeme kuendelea katika kijiji hicho  lakini huduma haionekani kuwa rafiki kwa wananchi. Na Victor Chigwada .                                      Wananchi wa Kata ya Chinuguli Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaongzea idadi ya nguzo za…

8 December 2023, 4:39 pm

Tatizo la umeme Ngorongoro

Wananchi wilayani Ngorongoro wamekuwa wakiitaja kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kuwa ni moja ya kero kubwa kwao kwani wamekuwa wakiofia kuungua kwa mali zao zinazotumia umeme na hata kushindwa kufanya kazi zao za kila siku hususani wale…