Mazingira
10 Febuari 2023, 10:37
Suluhisho la migogoro ya Ardhi na uharibifu wa mazingira Pangani
Katika ngazi ya kijiji mamlaka inayohusika na maandalizi ya mpango wa matumizi ya ardhi ya kijiji ni halmashauri ya Kijiji ambayo inaweza kufanya utekelezaji wake kupitia kamati ya usimamizi na matumizi ya ardhi. Na Erick Mallya Serikali ya kijiji cha…
8 Febuari 2023, 14:37
Ufugaji wa Nyuki huzuia uharibifu wa rasilimali Misitu na Mazingira
Na Katalina Liombechi Ufugaji Nyuki Wilayani Kilmbero imetajwa kuwa shughuli Mojawapo rafiki kwa uhifadhi endelevu wa Rasilimali za Misitu na Mazingira kwa Ujumla. Afisa Nyuki Halmashauri ya Mlimba Wilayani Kilombero bwana John Mlulu ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa…
31 Januari 2023, 12:07
Rc Mwasa azuia utolewaji wa vibali vya uchomaji wa mkaa
“Kutokana na mabadiliko ya tabianchi ambayo inaikumba nchi yetu na Dunia kwa ujamla Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi Fatma Mwasa amepiga marufuku uchomaji wa mkaa na kuwataka wanaofanya shughuli hizo ,watafute shughuli zingine za kufanya” By Elias Maganga/Isdory Mtunda…
31 Januari 2023, 12:02
Wananchi Bahi watakiwa kupanda miti ili kulinda vyanzo vya maji
Wananchi wilayani Bahi wametakiwa kuboresha mazingira na kutunza vyanzo vya maji kwa kuhakikisha wanapanda miti kwa wingi na kuilinda ili kutunza mazingira na vyanzo vya maji. Na Bernad Magawa Wito umetolewa kwa wananchi Wilayani Bahi kupanda miti kwa wingi na…
31 Januari 2023, 12:02
Balozi afafanua juu ya Miundombinu ya Maji taka
Balozi wa mtaa wa Bahiroad mariamu omary amelazimika kutoa ufafanuzi juu ya miundombinu ya maji taka. Na Leonard Mwacha Alitoa ufafanuzi huo juu ya shutuma zinazoelekezwa kwa wenye nyumba juu ya kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya maji taka. Kwa…
30 Januari 2023, 12:29
Wakulima Pangani wanavyotumia redio kustahimili mabadiliko ya tabianchi
Mabadiliko ya tabianchi yameleta changamoto nyingi katika mifumo ya uzalishaji na hata maisha ya kila siku. Hali hii inafanya upatikanaji wa taarifa na huduma za hali ya hewa kuwa suala la msingi na la dharura. Na Erick Mallya Wataalamu wamethibitisha…
30/01/2023, 09:32
Jeshi la Polisi laongoza zoezi la usafi Kilosa
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kilosa (OCD) Hasani Selengu ameliongoza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa Katika Kufanya Usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa leo Januari 27 Mwaka huu 2023 .. Wakati wakendelea kufanya usafi huo wa kufyeka nyasi…
17/01/2023, 09:15
Wafanyabiashara Soko la Mkuti wilayani Masasi Mkoani Mtwara wofia ugonjwa wa mli…
MASASI. Baadhi ya Wafanyabiashara wanaofanya biashara zao katika Soko la Mkuti Halmashauri ya Mji wa Masasi, wameshauri eneo la kuifadhia taka kwa muda lililopo katika Soko hilo liboreshwe kwa kuwekwa miundominu rafiki ya kutunzia taka hizo au liondolewe kwa kutafuta…
14 Januari 2023, 7:55 mu
TMA yatahadhari mvua kubwa mikoa sita
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa zinazoweza kunyesha hii leo Jumamosi Januari 14, 2023 katika maeneo machache ya mikoa ya Morogoro, Singida, Dodoma, Iringa, Njombe na Ruvuma. TMA kupitia taarifa yake…
12 Januari 2023, 4:31 um
Mkuu wa wilaya ya Maswa ,Aswege Kminyoge amezitaka taasisi zote za serikali wila…
Na mwandishi wetu,Daniel Manyanga. Mkuu wa wilaya ya Maswa, Aswege Kaminyoge ameziagiza taasisi zote za serikali wilayani hapo kuhakikisha zinatenga bajeti ya utunzaji wa mazingira wakati wa uandaaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka fedha 2023/2024 ili kuweza kukabiliana…