Kilimo
30/01/2023, 13:45
Wakulima watakiwa kulima kilimo cha Ikolojia.
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa wakulima wilaya ya Kilosa wametakiwa kulima kilimo ikolojia ambacho ni Kilimo rafiki kwa mazingira na kinasaidia kupunguza gharama za kununua madawa na mbolea kwa ajili ya kustawisha mashamba na kuua wadudu kwenye mazao.…
30 Januari 2023, 09:02
Wakulima Kongwa kupambana na wadudu
Na; Mariam Kasawa. Wakulima katika wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wametakiwa kuchukua hatua mapema za kupambana na wadudu waharibifu wa mazao. Akiongea na taswira ya habari Afisa kilimo wilaya ya Kongwa Bwana Jackson shida anasema….. Pia Shija amewataka wakulima kuchukua…
25 Januari 2023, 10:44 mu
Zaidi ya Miti Millioni Mbili Inataraji Kupandwa Tanganyika
MPANDAJumla ya miti milioni mbili na elfu kumi na nne inatarajiwa kupandwa katika maeneo mbalimbali wilayani Tanganyika mkoani katavi. Hayo yamesemwa na Mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusufu wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji…
24/01/2023, 08:41
Tumieni mbolea muongeze tija katika kilimo
Wakulima wametakiwa kutumia mbolea ya ruzuku ya serikali ambayo huuzwa kwa thamani ya mfuko shilingi elfu Sabini (70,000/=) ili kuongeza tija ya uzalishaji katika sekta ya kilimo huku ikielezwa kuwa kilimo cha mazoea kinatajwa kuwadidimiza wakulima kupata mavuno haba. Hayo…
22 Januari 2023, 10:04
KILIMO CHA MBAAZI
Na; Mariam Kasawa Licha ya zao la mbaazi kutumika kama matumizi mbalimbali kama mboga , chakula huku zao hili likifundishwa na wataalamu kuwa linaweza kuwa zao la biashara kwa kutengenezea vitu mbalimbali kama uji, supu, biscuti , cake, makande lakini…
19/12/2022, 11:27
Kipindi: Wanawake na Msimu wa Korosho
Na Grace Hamisi sikiliza makala haya juu ya kinachotokea kwa wanawake mara baada ya msimu wa korosho kuisha. Sikiliza Hapa
19 Disemba 2022, 08:35
Bahi watakiwa kulima mazao yanayo stahimili ukame
Na; Benard Filbert. Wakulima wa kata ya Bahi wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameshauriwa kupanda mazao ambayo yanahitaji mvua kidogo ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Ushauri huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo Agustino Mdunuu wakati akizungumza…
16 Disemba 2022, 12:16 um
Mbolea ya ruzuku kilio kwa baadhi ya wakulima
RUNGWE- MBEYA NA JUDITH MWAKIBIBI Kutokana na kukosekana kwa mbolea ya ruzuku kwa baadhi ya maeneo Wilaya Rungwe Mkoani Mbeya wakulima wametakiwa kuwa na subira wakati serikali ikiendelea kulishughulikia suala hilo. Hayo yamebainishwa na afisa kilimo wilayani hapa Bw Juma…
13 Disemba 2022, 9:18 mu
Bilioni 150 zimetolewa na serikali Kwa ajili ya ruzuku ya pembejeo Katavi.
KATAVI Waziri Mkuu Wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa amesema kiasi cha fedha cha shillingi Bilioni 150 zimetolewa na serikali kwa ajili ya ruzuku ya pembejeo kwa wakulima ili wapate mbolea na dawa Mkoani Katavi. Ameyasema hayo alipokuwa…
24 Novemba 2022, 3:29 um
Wakulima Iringa wamempongeza Rais Samia kwa kupunguza bei ya Mbolea
Wakulima mkoani Iringa wamefanya matembezi ya kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea. Wakizungumza Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Iringa wakulima hao wamesema kuwa walikuwa wakinunua mbolea kwa shilingi…