Radio Tadio

Kilimo

21 Julai 2023, 17:25

Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi

Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia  historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.

13/07/2023, 09:59

Wakulima Chato kunufaika na kilimo cha umwagiliaji

Kutokana na mabadiliko ya tabianchi kusababisha kupungua kwa mvua wilayani Chato mkoani Geita, serikali imekuja na njia mbadala ya kilimo cha umwagiliaji ili kuwakomboa wakulima. Na Mrisho Sadick: Serikali imepanga kuboresha mifumo ya umwagiliaji kwa wakulima wanaoishi pembezoni mwa Ziwa…

12 Julai 2023, 13:41

Wananchi Bahi watakiwa kutunza chakula

Mara nyingi jamii imekuwa ikishauriwa kuhifadhi sehemu ya mavuno ya mazao ili kusaidia upatikanaji wa chakula cha kutosha katika familia na kuepusha hali ya kuanza kuwa tegemezi kutokana na kuuzwa kwa mazao yote. Na Mindi Joseph. Wakulima Kata zote Wilayani…

10 Julai 2023, 16:20

Wananchi mikoa ya kusini kunufaika na mikopo ya kilimo

Wananchi wa mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania  (TADB) Kanda ya Kusini  katika kupata uelewa na utaratibu wa kupata mikopo ili  kupata vifaa vya kisasa  vitakavyowezesha kuleta…

6 Julai 2023, 16:05

Vijana 300 kunufaika na mradi wa kilimo Bahi

Vijana wametakiwa kuimarisha vikundi vyao kwani tayari vimesajiliwa na vinatambulika kisheria. Na.  Bernad Magawa Vijana  300 wilayani Bahi watanufaika na mradi wa kilimo kwanza unaowashirikisha vijana kutekeleza shughuli za kilimo kupitia Mashamba Darasa ili kusaidia jamii kuwa na uhakika wa…

3 Julai 2023, 12:17

Upungufu wa chakula: Wananchi watakiwa kuhifadhi mazao ya chakula

Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kuhifadhi mazao katika msimu huu ili kuepuka uhaba wa chakula. Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuhifadhi mazao ya chakula kutokana na upungufu…

1 Julai 2023, 6:32 um

Kampuni za tumbaku zatakiwa kuwalipa wakulima kwa wakati

Serikali imetakiwa kuhakikisha kampuni zinazonunua tumbaku za wakulima wanalipwa kwa wakati. Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa Hassan Wakasuvi. Akitolea ufafanuzi wa…