Radio Tadio

Kilimo

11 August 2026, 13:18

Wanafunzi wa kike 50 wapatiwa vifaa vya shule Kasulu

Watoto wa kikie wanatakiwa kuwekewa mazingira weshezeji kwa ajili kusoma na kutimiza ndoto zao. Na Hagai Ruyagila Taasisi ya Shukrani Foundation imetoa vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa wasichana 50 wa shule za msingi na Sekondari…

4 August 2026, 10:43

Kasulu yapata 100% ya ufaulu kidato cha sita 2026

Kwa matokeo hayo ya asilimia 100 ya ufaulu wa kidato cha sita, Halmashauri ya Mji Kasulu inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha sekta ya elimu na kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla Na…

31 July 2026, 7:37 pm

Jamii yatakiwa kuthamini maziwa ya mama kwa mtoto

Ikiwa Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani  yanaanza kesho Agasti mosi jamii Wilayani Babati mkoani Manyara  imehaswa  kuzingatia umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto  kwa kutambua umuhimu wa kumnyonyesha mtoto pindi anapozaliwa kwa wakati na  ulio sahihi . Na…

16 July 2026, 15:37

Vijana Kasulu wapata ujuzi ufugaji wa samaki na uchakataji

Vijana ni nguvu kazi muhimu katika maendeleo ya taifa na ili waweze kushiriki kikamilifu katika kukuza uchumi, wanahitaji elimu na ujuzi unaowawezesha kujiajiri na kuanzisha shughuli za uzalishaji Na Hagai Ruyagila Jumla ya vijana 43 kutoka wilaya tatu za Mkoa…

15 July 2026, 09:02

Enabel yakabidhi madarasa yanayohamishika Kasulu

Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla na kupitia elimu, jamii hupata maarifa, ujuzi na maadili yanayochangia maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, utekelezaji wa miradi ya elimu unahitaji rasilimali nyingi, utaalamu na ushirikiano…

3 July 2026, 12:56

Wananchi wataka elimu zaidi ya kutambua rushwa Kasulu

Rushwa ni moja ya changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla kwani huathiri utoaji wa huduma za umma, hupunguza uwajibikaji na kudhoofisha imani ya wananchi kwa taasisi za serikali Na Sadick Kibwana Baadhi ya wakazi wa Wilaya…

24 June 2026, 17:51

NMB yakabidhi madawati 150 Kakonko

Walimu walipokea madawati hayo wametakiwa kutatunza ili yaweze kudumu na kutumika kwa muda mrefu Na Mwandishi wetu Benki ya NMB imekabidhi madawati 150 kwa shule mbalimbali za Wilaya ya Kakonko katika hafla iliyofanyika leo, Juni 24, katika Shule ya Msingi…

23 June 2026, 16:19

Walimu wapewa mbinu za kidijitali kuimarisha ufundishaji Kigoma

Teknolojia imeendelea kukua kwa kasi duniani na kuleta mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali, ikiwemo sekta ya elimu kutokana na maendeleo hayo, walimu wanapaswa kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia ili waweze kutoa elimu bora inayokidhi mahitaji ya wakati. Na…