Radio Tadio

Jamii

10 Oktoba 2024, 15:28

Utumaji wa nyaraka, usafirishaji vifurushi posta ni salama zaidi

Na Anwary Shabani                                                              Utumaji wa nyaraka na usafirishaji wa vivurushi kupitia Shirika la Posta ni salama zaidi kulinganisha na njia zingine. Wadau na watumiaji wa huduma za Posta wamebainisha hayo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa watumiaji bora wa…

28 Agosti 2024, 15:38

Mwanaume ajinyonga kwa kutumia shuka Mbeya

Maisha yana changamoto nyingi ambapo husababisha baadhi ya watu kuwa na msongo wa mawazo, hali hiyo husababisha wengine kujiondoa duniani kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujinyonga na wengine kunywa sumu. Na Flora Godwin Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina…

22 Julai 2024, 18:30

Wanawake wachimbaji walia na rushwa ya ngono migodini Kahama

Wanawake kutokuwa na mitaji mikubwa kunafanya waingie katika vishawishi vya rushwa ya ngono ili kukidhi mitaji yao. Na William Bundala Kahama Wanawake wanaojishughulisha na uchimbaji mdogo wa madini wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamesema kuwa wanakumbuna na changamoto nyingi katika shughuli…

27 Machi 2024, 18:14

Jamii yaaswa kuzingatia matumizi sahihi ya mitandao

Ulimwengu kwa sasa umeshuhudia ukuaji mkubwa wa matumizi ya teknolojia na pia intaneti Lakini watumiaji wengi wa teknolojia hizi wamekua katika hatari ya kuingia katika matumizi mabaya ya teknolojia hii kutoka na wizi na vitendo vya udhalilishaji vinavyoweza kutokea kupitia…

5 Febuari 2024, 18:47

Jamii yatakiwa kujitokeza kusaidia malezi

Kuna watoto wengi kwenye wanapitia changamoto ya kupata malezi inayotokana na ugumu wa maisha pamoja na wengine kukosa wazazi. Na Fred Cheti.Wito umetolewa kwa jamii kujitokeza kusaidia katika malezi kwa watoto wenye uhitaji wa huduma hiyo kwa kuwachukua na kuwapatia…

5 Febuari 2024, 15:32

Viongozi wa dini wakemea ramli chonganishi Kigoma

Jamii imeshauriwa kutojihusisha na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo vinafanywa na waganga wa kienyeji ili kuwatapeli wananchi. Na, Josephine Kiravu Viongozi wa dini Kutoka madhehebu mbalimbali Mkoani kigoma wamekemea vikali vitendo vinavyoendelea kufanywa na waganga wanaopiga ramli chonganishi maarufu kwa…

3 Febuari 2024, 16:31

Kyela:Samia Mgeni rasmi maridhiano day Mbeya

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dokta Samia Suluhu Hasan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya mamaridhiano day itkayofanyika machi 3 2024 mkoani Mbeya.Na Masoud Maulid Kuelekea siku ya maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika march 3.2024 kamati ya…