Radio Tadio

Jamii

08/11/2024, 19:14

TCRA yadhibiti utapeli  mtandao

Na Anwary Shabani                                                              Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya kati imedhibiti  uhalifu wa mitandao  kwa kiwango kikubwa kupitia Kampeni ya Ni Rahisi Sana. Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya kati Mhandisi Asajile John  amesema kuwa kampeni…

10/10/2024, 15:28

Utumaji wa nyaraka, usafirishaji vifurushi posta ni salama zaidi

Na Anwary Shabani                                                              Utumaji wa nyaraka na usafirishaji wa vivurushi kupitia Shirika la Posta ni salama zaidi kulinganisha na njia zingine. Wadau na watumiaji wa huduma za Posta wamebainisha hayo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa watumiaji bora wa…

28 Agosti 2024, 15:38

Mwanaume ajinyonga kwa kutumia shuka Mbeya

Maisha yana changamoto nyingi ambapo husababisha baadhi ya watu kuwa na msongo wa mawazo, hali hiyo husababisha wengine kujiondoa duniani kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujinyonga na wengine kunywa sumu. Na Flora Godwin Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina…