Radio Tadio

Jamii

23 Febuari 2023, 21:22

DC Naano asema wakazi wa Nyatwali watapata haki zao

Mkuu wa wilaya ya Bunda mhe Dkt Vicent Naano amewatoa hofu madiwani  wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kuwa hoja zao juu ya suala la Nyatwali wamezichukua na watashauriana na mamlaka husika kuweza kupata muafaka uliyo sahihi. Mhe Dkt Naano…

20 Febuari 2023, 16:20

Mashekhe watakiwa kufanya kazi kwa weledi

Baadhi ya mashekhe wa kata wameshindwa kuwa na fikra ya utatuzi wa baadhi ya changamoto katika jamii ikiwemo masuala ndoa, migogoro ya kifamilia na kuwa na njia ya kuhakikisha ofisi za kata zinapatikana Na Seleman Kodima. Baraza la Waislamu Tanzania(BAKWATA)…

20 Febuari 2023, 09:29

Jamii yatakiwa kuendelea kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu

kituo cha tumaini kilichopo Ihumwa kina jumla ya watoto 150 wanaolelewa kituoni hapo na wajane 100 ambao wamesaidiwa katika kujiendeleza na miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Fred Cheti                     Jamii imeshauriwa kuendelea kuwasaidia watu wenye uhitaji ndani ya jamii hata kwa…

17 Febuari 2023, 16:53

Wazazi Sababu Mimba za Utotoni Iringa

Wazazi na walezi mkoa wa Iringa watajwa kuwa chanzo cha mimba za utotoni kwakutozungumza na watoto wao kwa uwazi pindi yanapotokea mabadiliko ya kimwili Na Fabiola Bosco. Wazazi na walezi mkoani Iringa wametakiwa kuzungumza na watoto kwa uwazi pindi yanapotokea…

15 Febuari 2023, 14:11

PrecisionAir yashindwa kutua Dodoma

Leo Wakati tunasafiri kutokea Dar kwenda Dodoma kutumia ndege ya Precission PW 600, kuna jambo limetokea. Na Joseph Rwegasira Samson. tupo hewani nilikuwa nimekaa dirishani, wakati tunakaribia kushuka Dodoma nikaona engine imezima, tupo hewani OMG…Rubani akatangaza kurudi Dar kwa dharula…