Radio Tadio

Habari za Jumla

8 Machi 2024, 8:45 mu

NSSF Hai watoa msaada kuelekea siku ya wanawake duniani

Katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Machi 8 kila mwaka NSSF wilaya ya Hai wametoa msaada kwa wenye uhitaji. Na Stanley Christian Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Shirika la Taifa la…

8 Machi 2024, 8:28 mu

Elimu ya malezi mwarobaini wa vitendo vya ukatili Makambako

Ili kukabiliana na vitendo vya ukatili katika jamii imeelezwa kwamba elimu ya malezi na makuzi kwa wazazi, walezi na watoto ni muhimu ikaendelea kutolewa Na Cleef Mlelwa – Makambako Wazazi na walezi katika halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kuhakikisha…

7 Machi 2024, 5:22 um

SHIUMA Hai kufanya maonesho mwenge wa uhuru 2024

Hai Kuelekea kuashwa kwa mwenge kitaifa mkoani Kilimanjaro tarehe 2 April wafanyabiashara wadogowadogo maarufu machinga wilayan Hai wameaanda maonyesho makubwa ya bidhaa mbalimbali za utamaduni sanaa na utalii Na Janeth Joachim Kuelekea kuashwa kwa mwenge kitaifa mkoani Kilimanjaro tarehe 2…

7 Machi 2024, 15:57

Diwani Mariam:Wawepo wataalamu wa saikolojia kwenye kata

Mamilioni ya watanzania wanajihususha na ujasiriamali mdogo hali inayo wafanya wajiingizie kipato kutokana na hilo hawana budii kupata elimu inayowawezesha kufanya shughuli zao kwa weledi. Na Hobokela Lwinga Kuelekea kilele cha siku ya mwanamke duniani,diwani wa viti maalum jiji la…

7 Machi 2024, 15:51

Milioni mia nne kujenga kituo cha kupooza umeme kyela

picha,Mbunge Ally Mlagila akizungumza na wananchi Serikali yaaja na mbinu mbadala ya kukomesha tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara wilayani kyela, Na James Mwakyembe Baada ya kuwepo katikakati ya umeme iliyokithiri serikali imetenga shilingi milioni mia nne kwa…

7 Machi 2024, 3:29 um

Wafanyabiashara Kihesa waomba wakarabatiwe soko

Licha ya Viongozi Kutoa ahadi kuhusu ukarabati wa Soko hilo lakini utekelezaji wake umekuwa Mgumu. Na Godfrey Mengele Wafanyabiashara wa soko la Kihesa maarufu kama kihesa sokoni lililopo halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameitaka serikali kuwajengea soko lenye hadhi ya…

7 Machi 2024, 2:43 um

Ushirikishwaji wa Wananchi wazaa matunda Rungwe

Na Mwandishi wetu Elimu ya utambuzi inayotolewa na serikali kwa wananchi imeendelea kuboresha miundombinu mbalimbali kama vile ya elimu. Wakazi wa kata ya Isongole wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamejenga bweni la wavulana katika shule ya sekondari Isongole ikiwa ni hatua…