Radio Tadio

Habari za Jumla

January 24, 2023, 6:36 am

Ukaguzi wa Ujenzi Kituo cha Afya Bulongwa

Kamati ya Siasa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Makete ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Clement Ngajilo wamefika kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya Bulongwa wenye thamani ya Milioni 500 na kupongeza jitihada za Serikali na wananchi katika ujenzi huo…

January 24, 2023, 6:33 am

Walima barabara kwa Majembe kunusuru hali mbaya ya Usafiri

Wananchi wa Kijiji cha Unyangala wakilima barabara kwa majembe na chepe ili kuondoa kifusi kilichoziba barabara hiyo eneo la Utengule baada ya kukosa huduma ya mawasiliano tangu kipindi cha Masika mwaka uliopita. Barabara hiyo ilijifunga baada ya udongo kuporomoka na…

January 20, 2023, 7:33 pm

Akutwa mtupu Kanisani Njombe

Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe huku…

January 20, 2023, 7:23 pm

Miti 5,000 ya Asili yapandwa Kijiji cha Ihela

Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kutunza mazingira ikiwemo vyanzo vya maji ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza ikiwemo kuongezeka kwa joto duniani,ukame pamoja na kubadilika kwa msimu wa mvua. Wito huo umetolewa January 20,2023 na Agustino Ngailo ambaye alikuwa mgeni…

January 20, 2023, 7:00 pm

Wananchi 50 Tandala wakabidhiwa Hati Miliki za Ardhi

Ofisi ya Ardhi mkoa wa Njombe imeendesha zoezi la kukabidhi hati zipatazo Hamsini kwa wananchi wa kijiji cha Tandala wilayani Makete pamoja na kusikiliza changamoto za wananchi juu ya zoezi hilo leo Disemba 20 mwaka huu. Emmanuel Mkiwa kutoka ofisi…

20 January 2023, 3:57 am

Madereva Bajaji Walia na Bima

KATAVI Baadhi ya madereva bajaji mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo bima za vyombo vya moto haziwasaidii pindi yanapotokea majanga ya barabarani. Wameyaeleza hayo wakati wakipewa elimu juu ya umuhimu wa bima za vyombo vyao vya moto ambapo wamesema aina hiyo…

January 19, 2023, 8:03 am

AFUNGWA MIAKA 30 WILAYANI LUDEWA KWA KOSA LA UBAKAJI

Mahakama Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Januari 17, 2023 imemhukumu kifungo cha Miaka 30 jela Daudi David Mligo, mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Ludewa Mjini baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Mnamo Julai 16, 2022 majira ya saa tisa na dakika…

January 19, 2023, 7:53 am

Wajanja wa kurubuni Mbolea kushughulikiwa Njombe

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akishirikiana na Jeshi la Polisi mkoani hapa, wamefika katika nyumba ambayo mfanyabiashara wa mbolea amekuwa akitumia kuchakachua bidhaa hiyo. Mtaka amesema katika nyumba hiyo isiyo na umeme, wamebaini mifuko ya makampuni mbalimbali ya mbolea, majenereta…

January 18, 2023, 11:07 am

Ujenzi Kituo cha Afya Lupalilo, DC ahimiza Usimamizi

  Ujenzi wa Kituo cha Afya Lupalilo awamu ya pili umefikia hatua nzuri baada ya kuwa katika hatua za mwisho wa ujenzi. Kituo hicho ujenzi wake ulianza kwa wananchi kujenga Jengo la wagonjwa wa nje na Serikali ikaunga mkono kwa…