Radio Tadio

Habari za Jumla

4 October 2024, 8:08 pm

Mkonze yajiimarisha kiulinzi kudhibiti mauaji na uhalifu

Na Nazaaeli Mkude Kufuatia tukio la mauaji  la mama na binti lililotokea mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu  katika kata ya Mkonze mtaa wa Muungano A, kata ya Mkonze, Jijini Dodoma, hali ya ulinzi imeimarishwa ili kudhibiti uendelevu matukio hayo…

1 October 2024, 8:25 pm

Ujumbe wa marehemu wazua ‘Utata’ Arusha

Na Joel Headman Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha mtu mmoja mkazi wa Baraa jijini Arusha aliyekutwa msituni akiwa amening’inia juu ya mti. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo, kamanda wa Polisi Mkoa…

1 October 2024, 7:53 pm

Mradi wa bwawa kuipaisha Swaswa kiuchumi

Na Mindi Joseph. Ujenzi wa eneo la mapumziko katika Bwawa la Swaswa Jijini Dodoma unatarajiwa kuwanufaisha wananchi kiuchumi. Bwn. Isaack Daniel ambaye ni mjumbe na pia msimamizi wa ulinzi na usalama katika mtaa wa Swaswa amezitaja fursa za kiuchumi zinazotokana…

30 September 2024, 7:10 pm

Elimu zaidi ya VVU yahitajika kwa Vijana

Na Yussuph Hassan. Vijana Jijini Dodoma wameomba elimu iendelee kutolewa ili kukumbusha jamii juu ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Wakizungumza nyakati tofauti na Dodoma TV wakazi hao wamesema kuwa kwa kufanya hivyo itasaidia kupunguza maambukizi mapya ya…

30 September 2024, 7:09 pm

Chidachi walilia urasimishaji wa makazi

Na Nazael Mkude . Wakazi wa Chidachi Kusini Mkoani Dodoma wameomba kupata huduma ya  upimaji  wa viwanja pamoja na kurasimishiwa makazi yao ambayo wamekuwa  wakiyatumia kwa muda mrefu. Wakieleza malalamiko yao kupitia  kituo cha habari cha Dodoma TV, wamesema  kuwa…

27 September 2024, 8:42 pm

Vijana tumieni  vipaji  kutatua changamoto ya ajira

Na Steven Noel. Changamoto  kubwa inayowakabili vijana kwa sasa ni suala la upatikanaji wa ajira. Kutokana na changamoto hiyo,  baadhi ya vijana wamefikiria njia mbadala ya kutumia vipaji walivyonavyo ili kujipatia kipato ili kuweza kujikimu kimaisha. Hapa tumsikie moja ya…