Radio Tadio

Habari za Jumla

1 Aprili 2024, 2:30 um

Wanusurika kifo baada ya nyumba yao kubomoka-Ifakara

“Hakuna kifo wala majeruhi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha baada ya nyumba kubomoka ambayo imeacha familia ya watu watatu kukosa makazi,ambapo kwa sasa wamehifadhiwa katika Jengo la Ccm kata ya Kibaoni katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara“-Afisa Mtendaji wa…

1 Aprili 2024, 13:28

Mwalimu wa kike, mwanafunzi wauawa Kiwanja Chunya

Mwalimu wa kike na mwanafunzi wameuawa wakati huo mtoto wa miaka miwili akijeruhiwa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Na Ezekiel Kamanga Watu wawili jinsi ya kike wakazi wa Kiwanja kata ya Mbugani wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wanadaiwa kuuawa na…

1 Aprili 2024, 11:23 mu

Mvua yasababisha majanga Rungwe

Moja ya nyumba iliyonusulika kubomoka [picha na Lennox Mwamakula] Richa ya kuwepo kwa sera mipango miji nchini jamii imewaomba wasimamizi kuendelea kufuatia na kuratibu ili kufanikisha suala hilo RUNGWE-MBEYA Lennox Mwamakula Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini wananchi wilayani…

30 Machi 2024, 19:19

Zimamoto Mbeya yaopoa mwili wa asiyefahamika mto Magege

Katika hali isiyo ya kawaida mwili wa mtu mmoja umekutwa katika mto Magege ukidhaniwa kutupwa na watu wasiojulikana baada ya kumfanyia kitendo kilichopelekea kupoteza maisha. Na Ezekiel Kamanga Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuopoa mwili wa…

29 Machi 2024, 17:46 um

TFS yaombwa kutoa elimu ya huduma za misitu

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wameombwa  kutembelea vijiji na kutoa Elimu kwa Wananchi  ili wapate uelewa juu ya athari zinazo weza kujitokeza kutokana na  matumizi mabaya  ya Mazao ya Misitu Na  Musa  Mtepa Akizungumza na Jamii Fm Radio…

29 Machi 2024, 12:43

Wakristo wahimizwa kumtegemea Mungu kwenye maisha yao

Ijumaa Kuu kwa mkristo Ina nafasi kubwa kwani ni siku ambayo inatajwa kwenye Maandiko Matakatifu kuwa ndiyo ulimwengu ulipata wokovu na kibiblia kama mateso ya Yesu Kristo, kabla ya ufufuo wake wa siku Tatu. Na Rukia Chasanika Wakristo nchini wameshauriwa…