Radio Tadio

Habari za Jumla

23 Aprili 2024, 8:58 mu

Homa ya mapafu yatishia usalama wa mifugo Maswa

Zoezi la uchanjaji wa mifugo wilayani Maswa mkoani Simiyu  kuwasaidia wafugaji kufanya ufugaji wenye tija na kuongeza thamani ya mifugo yao hivyo kuondokana na umasikini. Na,Paul Yohana Zaidi ya ng’ombe laki tatu wilayani Maswa mkoani Simiyu kupatiwa chanjo ya homa…

22 Aprili 2024, 15:24

Zaidi ya bilioni 46 kukarabati uwanja wa ndege kigoma

Katika kuhakikisha sekta ya usafirishaji nchini inaimarika serikali imeendelea kufanya maboresho na kukarabati viwanja vya ndege ikiwemo kiwanja cha ndege kigoma ili kurahisha urafirishaji. Na Lucas Hoha – Kigoma Zaidi ya shilingi Bilioni 46 zimetolewa na Serikali  kwa ajili ya…

22 Aprili 2024, 12:56

Suluhisho kupata viongozi bora Kigoma lapatikana

Wazazi na Walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameaswa kuwalea watoto wao katika maadili mema ambayo yatawasaidia kuwa viongozi bora katika jamii inayowazunguka. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa kanda ya kati wa kanisa la Anglikana Nyumbigwa Dayosisi ya Western Tanganyika Mchungaji…

Aprili 22, 2024, 12:21 um

Wafugaji wa nyuki washauriwa kutumia wataalam

Kutokana na wafugaji wengi wa nyuki kufuga kienyeji na kutopata faida ofisi ya misitu Halmashauri ya wilaya ya Makete wameshauri wafugaji kutumia ushauri wa wataalamu ili wafuge kwa tija. Na Bensoni Kyando. Wananchi Wilayani Makete Mkoani Njombe wanaojishuhulisha na shughuli…

22 Aprili 2024, 11:36 mu

Maswa usalama wa mtoto siyo jukumu la walimu pekee

Usalama wa mtoto siyo jukumu la walimu wala mamlaka zinazohusika na maswala hayo wazazi ni nguzo muhimu sana katika kuyatengeneza maisha ya mtoto na kumwandalia misingi iliyo bora ili kuweza kukomesha vitendo vya ukatili dhidi yao. Na, Daniel Manyanga  Katika…

22 Aprili 2024, 09:30

Saratani ya mlango wa kizazi inatibiwa acheni imani potofu

Ugonjwa wa Saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wa kike imeendelea kuwa tatizo jambo ambalo limeiamsha serikali kuendelea na kampeni ya chanjo kwa watoto wa kike ili kuepukana na ugonjwa huo Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Halmashauri ya Wilaya…