Habari za Jumla
12 February 2024, 11:22
Mradi wa LTIP watatua mgogoro wa mpaka wa Songwe na Mbeya
Na Ezekiel Kamanga Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Songwe CPA Cecilia Kavishe amesema Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) umetatua migogoro ya kimipaka katika halmashauri hiyo hatua inayowasidia wananchi kuendelea na shughuli za uzalishaji mali kwa…
12 February 2024, 11:08
Mradi wa LTIP kuinua uchumi wa Makete
Na Ezekiel Kamanga, Makete, Njombe Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) ni tumaini jipya la kuwainua kiuchumi wananchi wa wilaya ya Makete kwa ardhi yao kupangwa, kupimwa na kupata hati miliki ya ardhi ili kuendesha maisha yao…
10 February 2024, 16:53
Yanga yaadhimisha miaka 89, yatoa msaada hospitali ya kanda Mbeya
Na Hobokela Lwinga Kuelekea maadhimisho ya miaka 89 tangu kuanzishwa kwa klabu ya mpira wa miguu ya Yanga, leo 10 Februari, 2024 wanachama pamoja na viongozi wa kitaifa wa klabu hiyo wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Kitengo cha…
10 February 2024, 1:36 pm
Auawa kwa kuchapwa na mume wake akilazimishwa kuishi nae Ngorongoro
Matukio ya ukatili kwa wanawake yameendela kuripotiwa ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 22 auawa kwa kuchapwa na mume wake akilazimishwa kuishi nae Ngorongoro. Na Edward Shao. Mwanamke mmoja Nanyori Mohe (22) mkaazi wa kijiji cha Malambo kata ya Malambo…
9 February 2024, 3:08 pm
Mpanda-Wananchi msitelekeze wagonjwa hospitali
Baadhi ya wagonjwa wanaofikishwa katika hospital Hutelekezwa na ndugu zao na kuleta mzigo kwa serikali.Picha na Mtandao Na Veronica Mabwile-Katavi. Wito umetolewa kwa wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kuacha taabia ya kuwatelekeza wagonjwa wakati wakupatiwa huduma za matibabu ili…
9 February 2024, 2:41 pm
Sungusungu Mpanda wageuka vibaka
Na John Benjamin-Katavi Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Airtel kata ya Uwanja wa Ndege halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia kuwepo kwa kundi ambalo limekuwa likijitambulisha kuwa ni ulinzi shirikishi ambalo limekuwa likifanya matukio ya kiharifu kama…
9 February 2024, 2:16 pm
TAKUKURU Katavi yajipanga uchaguzi serikali za mitaa
Tumejipanga kutoa elimu na kuzuia rushwa kwa Wananchi na wagombea Ili kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unakuwa huru na haki kwa mwaka huu na Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.Picha na mtandao Na Samweli Mbhugi-Katavi Taasisi ya kuzuia na kupambana…
9 February 2024, 13:56
Wanafunzi 600 hawajaripoti shule wilayani kibondo
Ofis ya Eliu wilayani Kibondo imeanza msako wa kuwatafuta wanafunzi waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza na hawajaripoti shuleni mpaka sasa. Na, James Jovin Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imeanza msako wa wanafunzo wote ambao bado hawajajiandikisha kuanza masomo…
8 February 2024, 19:59
Kigoma: Wananchi waonywa matumizi ya dawa kiholela kutibu macho mekundu
Wananchi mkoani Kigoma wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa macho mekundu, ulioripotiwa hivi karibuni kutokea katika baadhi ya mikoa mbalimbali hapa nchini. Na, Horida Sayoni Mganga mkuu wa mkoa wa kigoma Dr. Jesca Leba Amesema hayo wakati akizungumza na…
February 8, 2024, 5:28 pm
Serikali yatoa fedha kujenga kituo cha afya Mfumbi Makete
Kata ya Mfumbi ni miongoni mwa kata ambazo zimepewa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya ikiwa ni mpango wa halmashauri ya wilaya ya Makete kujenga vituo vya afya ktika kata zote ambazo hazina vituo vya afya pamoja na kuboresha…