Radio Tadio

Habari za Jumla

16 February 2024, 2:44 pm

Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…

February 15, 2024, 7:34 pm

Ubovu wa barabara wachangia kushuka kwa mapato Makete

Ubovu wa barabara Makete umepelekea kupotea kwa mapato hali iliyomfanya mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh. Christopher Fungo kuagiza mamlaka husika kuchukua hatua za maksudi ili kunusuru kupotea kwa mapato . Na Ombeni Mgongolwa Baraza la Madiwani la…

15 February 2024, 12:22 am

Amuua mke wake, atokomea kusikojulikana

Matukio ya ukatili kwa wanawake hususani ya mauaji yameshamiri kwa mwezi Februari wilayani Ngorongoro ya wanaume kuwaua wake zao hili likiwa ni tukio la pili kwa mwanaume kumua mkewe ndani ya wiki moja tu. Na Edward Shao. Kijana mmoja anayejulikana…

14 February 2024, 21:42

DC Songwe asimamisha mchakato utoaji leseni mlima Elizabeth

Na Ezekiel Kamanga,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe Solomon Itunda amesimamisha mchakato wa utoaji leseni ulioanza kutolewa eneo la Bafex lililopo mlima Elizabeth kata ya Saza wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe. Itunda amechukua hatua hiyo katika…

14 February 2024, 5:38 pm

Bei elekezi kwa zao la parachichi Busokelo

Mkurugenzi wa halmashauri ya Busokelo Loema peter akisungumza kwenye kikao cha wadau wa parachichi Wadau na wakulima wameishukuru serikali kwa kutuoa bei elekezi ya parachichi kwani itamsaidia mwananchi wa kawaida. Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mtendaji wa Hamshauri ya Wilaya ya…