Radio Tadio

Habari za Jumla

16 October 2024, 7:27 pm

Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini

Na Yusuph Hassan. Siku ya Wateknolojia Dawa Kitaifa Iimefanyika Jijini Dodoma Ikiwa na kauli mbiu Isemayo “Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini tuwajibike pamoja”. Katika kuadhimisha siku wa Wateknolojia Dawa Duniani ambayo hufanyika  Oktoba 16 kila mwaka,…

11 October 2024, 22:00

Care International yawafikia wasichana 600 Mufindi DC

Na Mwanaid Ngatala. Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani leo Oktoba 11, 2024, shirika lisilo la kiserikali, Care International, kupitia mradi wa Pesa yake maisha yake (Her Money Her Life), limegawa taulo za kike na sabuni…

11 October 2024, 7:24 pm

Wafanyakazi  wahanga magonjwa ya afya ya akili sehemu za kazi

Wanyakazi wanatajwa kuwa hatarini kupata  magonjwa ya afya ya akili kutokana na mazingira ya kazi au shughuli wanazofanya. Katibu Mkuu Msaidizi Chama Wataalamu wa Saikolojia  (TAPA) Bwn. Albano Michael  pamoja Mwenyekiti Kanda ya Kati Magharibi  Bwn. Shabani Waziri wamebainisha hayo…

10 October 2024, 12:47 pm

Sendiga  afika kumjulia  hali mtoto Joel

Baada ya mtoto Joeli Mariki kupatikana akiwa hai katika mlima kwaraa , mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema madaktari  wanaendelea kumpatia matibabu na hali yake bado inaendelea kuimarika kwa kuhakikisha anakuwa chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya.…

7 October 2024, 9:15 pm

Wafugaji Simanjiro  waaswa kupeleka mabinti shule  

Wadau wa elimu kutoka shirika la Kinnapa, wafugaji kutoka wilayani humo wamesema wame elimika kutokana na elimu waliyoipata mara kwa mara  na wameamua kuwapeleka watoto wa kike shule na hasa  waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo Na Diana Dionis Jamii…

4 October 2024, 8:08 pm

Mkonze yajiimarisha kiulinzi kudhibiti mauaji na uhalifu

Na Nazaaeli Mkude Kufuatia tukio la mauaji  la mama na binti lililotokea mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu  katika kata ya Mkonze mtaa wa Muungano A, kata ya Mkonze, Jijini Dodoma, hali ya ulinzi imeimarishwa ili kudhibiti uendelevu matukio hayo…