Radio Tadio

Habari za Jumla

26 March 2024, 4:11 pm

Aliyesombwa na mafuriko mwili wake umepatikana

Na Elias Maganga Mwili wa Kijana Shafii Abas Kambeyu aliyesombwa na mafuriko wakati akiwa anawavusha watu wengine katika daraja la Katindiuka halmashauri ya Mji wa Ifakara umepatikana. Akizungumza na pambazukofm Mwenyekiti wa Mtaa wa Katindiuka A Mulla Mlamba amesema mwili…

26 March 2024, 15:38

Wananchi wafurahia utekelezaji wa miradi ya elimu Kakonko

Wakazi wa Kata ya Kanyonza katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameishukuru serikali ya  awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kujenga shule ya sekondari ya wasichana ya bweni na ambayo itatoa fursa kwa mabinti…

26 March 2024, 09:31

Wananchi wapigwa marufuku kuuza mazao kiholela

Akiba ni msingi wa maendeleo,Mkoa wa Songwe ni moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini inayosifika katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara,kumekuwa na tabia ya baadhi ya wananchi kusahau kesho yao pale wanapovuna mazao na wanajikuta wanauza…

26 March 2024, 09:06

Kamchape yawa tishio kwenye jamii Kigoma

Jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeaswa kupinga na kukemea huduma zinazotolewa na wapiga ramli chonganishi maarufu kwa jina la Kamchape ama lambalamba kwani wanasababisha kuvuruga amani hali inayosababisha madhara makubwa katika wananchi. hii hapa ni ripoti yake Hagai Ruyagila

25 March 2024, 5:31 pm

Mafuriko yaua mtu mmoja Ifakara

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kuwa makini katika kipindi hiki cha mafuriko na pia wazazi wanapaswa kuwaangalia watoto wao wasiwaache kwenda kuchezea maji kwani wanaweza kupoteza maisha Na Elias Maganga Baadhi ya maeneo katika Halmashauri ya Mji…

25 March 2024, 14:54 pm

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali umiliki wa Gesi Asilia

Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua ya kuwasomesha vijana wa kitanzania nje ya nchi ambao kwasasa ndio wanao simamia mitambo ya kuchakata na kuzalisha Gesi Asilia katika kjiji cha Madimba…