Habari za Jumla
13 Septemba 2024, 11:59 mu
Katavi:Kiongozi wa mbio za mwenge”miradi iendane na thamani ya pesa”
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa katika picha akiwa na viongozi wengine wilaya ya mpanda akiwemo mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph.picha na Betord Chove “Wajibu wa watekelezaji wa mradi huo pamoja na serikali kuhakikisha jengo hilo linakuwa na…
11 Septemba 2024, 19:38
Virusi vya homa ya ini ni hatari kuliko VVU
Virusi vya ugonjwa wa homa ya ini ni rahisi kuambukizwa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi hadi mwingine na kuleta madhara kwa muda mfupi kuliko VVU Na Yusuph Hassan. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini inakadiriwa kiwango cha ushamiri wa…
11 Septemba 2024, 19:37
Zaidi ya wakulima 290 kunufaika na skimu ya umwagiliaji Dodoma
Zaidi ya wakulima 290 wanatarajia kunufaika kupitia Uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali II Mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph Zaidi ya wakulima 290 wanatarajia kunufaika kupitia uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali II Mkoani…
11 Septemba 2024, 19:36
Miundombinu wezeshi yahitajika Mahitaji Maalumu kushiriki uchaguzi Serikali y…
Na Steven Noel. Watu wenye mahitaji maluum Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwapatia vifaa saidizi kwenye zoezi la upigaji kura Serikali ya Mtaa. Wamesema hayo kwenye ushiriki wa utoaji elimu ya mpiga kura. Afisa uchaguzi Wilayani Mpwapwa Bwn,…
9 Septemba 2024, 19:52
Balozi wa shina afariki baada ya majaribio mawili ya kujiua
Na Nazael Mkude. Balozi wa Shina namba 10 anayejulikana kwa jina la John Mathayo Mkutani Mkazi wa Mtaa wa Miganga kata ya Mkonze jijini Dodoma amekutwa amejinyonga hadi kufa katika moja ya shamba la jirani na makazi yake mwishoni mwa…
9 Septemba 2024, 19:51
Green Samia kutoa elimu ya mazingira kwa vijana
Na Mariam Kasawa. Bwn. Reuben Chacha mhandisi wa mazingira kutoka mkoani Iringa anasema kijana ni muathirika namba moja katika mabadiliko ya tabianchi kutokana na shughuli wanazo fanya ambazo si rafiki kwa mazingira hivyo kupelekea mabadiliko ya tabianchi. Amesema kupitia vijana…
9 Septemba 2024, 7:30 um
Katavi: Mwenyekiti CHADEMA awataka wanachama wa chama hicho kutokubali kuchukul…
Mwenyekiti chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake .picha na John mwasomola “kutokana na matukio yanayojitokeza ya watu kutekwa na kuuawa wanatakiwa kujilinda na kutokubali kuchukuliwa“ Na John Mwasomola -Katavi Mwenyekiti wa chama cha…
9 Septemba 2024, 5:19 um
wananchi wametakiwa kuacha Mila potofu juu ya ugonjwa wa fistula
Mshana amewataka wanawake wajawazito wanapopata uchungu wanashauriwa kufika hospitali mapema pasipo kutumia dawa za asili ili aweze kujifungua salama. Na Sebastin Mnakaya Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekiwa kuacha tabia ya imani potofu ya kudhani ugonjwa wa fistula unawapata wanawake…
9 Septemba 2024, 3:49 um
Auawa kwa kuchomwa moto na wasiojulikana Ushetu
“Tukio hili ni kwanza kutokea katika kijiji hiki na hatufahamu kabisa akina nani wamefanya tukio hili na hatumfahamu huyu mtu lakini kwa vile polisi wamefika uchunguzi utafanyika na itajulikana hii ni mara ya kwanza kwa tukio kama hili” Na Mwandishi…
5 Septemba 2024, 20:03
DC Mpwapwa atoa wito JKT kumlinda Rais dhidi ya uhalifu mtandoni
Kikosi 826 KJ wakati wa kuhitimisha mafunzo ya kijeshi Wilayani Mpwapwa DC Mpwapwa atoa wito JKT kumlinda Rais dhidi ya uhalifu mtandoni Na Steven Noel. Mkuu wa Wilaya ya Mheshimiwa Sophia Kizigo amewataka Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga…