Radio Tadio

Habari za Jumla

23 October 2024, 00:55

Serikali yaipandisha hadhi shule ya msingi Mandawa

Nas Mindi Joseph. Serikali imeipandisha hadhi shule ya msingi Mandawa ili kuweza kutoa elimu ya  ya kidato cha tano na sita. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake, Kaka Mkuu wa shule ya sekondari Mandawa, Saidi Mohammed Mkowola ameishukuru Serikali kwa…

22 October 2024, 6:31 pm

Wananchi tunzeni wanyama pori

Serikali yasema imeweka mazingira yakuvutia wageni  kupitia filamu ya royal tour ambapo watalii wameongezeka  hasa mkoani Manyara nakuleta fedha nyingi za kigeni ambazo zinanufaisha vijiji hivyo. Na Marino Kawishe Wananchi waishio karibu na hifadhi  za taifa za Manyara na Tarangire…

20 October 2024, 8:09 pm

Watoto bado wanakabiliwa na changamoto Geita

Watoto hususani wa kike mkoani Geita bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika jamii ikiwemo kutoaminiwa,nakupewa nafasi ya kufanya maamuzi. Na Mrisho Sadick: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali imedhamiria kuboresha na kulinda…

18 October 2024, 20:05

NIMR  yatafiti mikakati ya chanjo ya Uviko-19

Na Yussuph Hassan. Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii ESRF kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMR zimefanya utafiti wa kutathmini mikakati ya kuongeza upataji chanjo ya Uviko-19 nchini. Akizungumza jijini Dodoma katika kongamano la…

18 October 2024, 20:04

TANZIA: PCMA wamlilia Askofu Mondeya

Na Nazael Mkude. Wachungaji na waamini wa kanisa la PCMA Mkoani Dodoma  wamepokea kwa masikitiko kifo cha Askofu Mkuu  Dr.  Mondea Kabeho Katibu Mkuu wa Kanisa la hilo Patrick Kajila anaelezea jinsi msiba huo ulivyotokea wakati wa ibada ya kuwafariji…

17 October 2024, 20:01

Zijue athari za malezi ya upande mmoja

Na Anwary Shabani                                     Malezi ya upande mmoja yametajwa kuwa ni changamto kwa makuzi ya mtoto. Kwa nyakati tofauti, wananchi Jijini Dodoma  wamesema kuwa zipo changamoto  nyingi zinamkabili mtoto anayepata malezi ya upande mmoja ikiwemo suala la elimu. Aidha wananchi  hao…

17 October 2024, 5:01 pm

Dc Mtulyakwaku: Nendeni mkajiorodheshe mpate viongozi bora

Na Nyamizi Mdaki Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora Mohamed Mtulyakwaku amesema nyumba nzuri inaendana na msingi imara hivyo wananchi wanapaswa kujiorodesha kwenye daftari la orodha ya wapiga kura ili wapate viongozi bora. Mtulyakwaku ametoa rai kwenye uzinduzi wa…

16 October 2024, 19:27

Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini

Na Yusuph Hassan. Siku ya Wateknolojia Dawa Kitaifa Iimefanyika Jijini Dodoma Ikiwa na kauli mbiu Isemayo “Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini tuwajibike pamoja”. Katika kuadhimisha siku wa Wateknolojia Dawa Duniani ambayo hufanyika  Oktoba 16 kila mwaka,…