Habari za Jumla
1 November 2024, 6:50 pm
Matumizi ya nishati ya umeme jua ni tija katika kilimo
Na Mindi Joseph Matumizi ya nishati ya umeme jua katika shughuli za Kilimo inatajwa kuwa Mkombozi kwa wakulima kutokana na kuokoa gharama mbalimbali pamoja na kuwezesha uzalishaji wenye tija kwa msimu mzima. Bwana Ngalya mkulima mkazi wa Kata cha Matungulu…
1 November 2024, 3:15 pm
Walimu wakuu 554 mkoani lindi wapewa mafunzo ya uongozi
Na Mwanne Jumaah Wakala wa Maendeleo ya usimamizi wa Elimu (ADEM) kupitia Mradi wa boost wamewajengea uwezo walimu wakuu 554 juu ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kutoka Katika Wilaya tano za Mkoa wa Lindi Mratibu wa Mafunzo hayo…
1 November 2024, 3:06 pm
Katavi:Takukuru yaokoa fedha zaidi ya Tshs milion 6
kaimu mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Katavi Stuart Kiondo.picha na Samwel Mbugi “ametoa rai kwa wananchi wote wa mkoa wa Katavi kutoa taarifa za vitendo vya Rushwa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa November 27…
29 October 2024, 3:59 pm
Watatu wanusurika ajali ya moto bajaj ikiteketea
Na Anwary Shabani Watu watatu jijini Dodoma wamenusurika kifo baada ya bajaji waliyokuwa wakiitumia kwa safari za mjini kuwaka moto na kuteketea katika mtaa wa Kitenge Kata ya majengo. Bwn Isaack Gideon ambaye ni dereva wa bajaj hiyo anaeleza jitihada…
29 October 2024, 3:50 pm
Koica yawapiga msasa wakaguzi wa walimu Pemba
Mkaguzi mkuu wa elimu Zanzibar Maimuna Fadhil Abas akizungumza na wakaguzi wa walimu wakati wa ufunguzi wa mafunzo huko kituo cha walimu (TC)Michakaeni chake chake Pemba (picha na Mwiaba Kombo) Taasisi ya kuboresha elimu Zanzibar lengo lake kubwa ni kuhakikisha…
28 October 2024, 8:28 pm
Wamebana Wameachia
Na Joel Headman Babati: Ndo ivyo bwana mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate na Mashujaa umetamatika hapa uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare maua ya 2-2 Fountain gate ndio wenye furaha zaidi baada ya kutanguliwa goli…
28 October 2024, 6:25 pm
TIRA yawafikia wafugaji Manyara
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA)kanda ya kati imewashauri Wafugaji mkoani Manyara kukata bima ili kujikinga na majanga yanapotokea. Na Mzidalfa Zaid Wafugaji mkoani Manyara wameshauriwa kukata bima ili kujikinga na majanga yanapotokea ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa ,mafuriko,…
24 October 2024, 1:27 am
Ujenzi zahanati ya Lubanda waokoa maisha ya wanawake wajawazito
Baada ya zahanati iliyojengwa kwa nguvu za wananchi kukamilika na kuanza kutoa huduma, wakazi wa kijiji cha Lubanda kata ya Busanda halmashauri ya wilaya ya Geita waeleza namna walivyonufaika na uwepo wa zahanati hiyo. Na: Ester Mabula – Geita Karibu…
23 October 2024, 6:59 pm
Madereva stendi ya mnada mpya Dodoma walia na ubovu wa miundombinu
Na Mindi Joseph. Madereva wa stend ya mnada mpya Jijini Dodoma wamakabiliwa na changamoto ya faini za mara kwa mara kutokana na kuegesha magari maeneo yasiyo rasmi kutokana na changamoto ya miundombinu. Madereva hao wanaeleza jinsi hali alisi ya stendi…
23 October 2024, 3:57 pm
REA kusambaza umeme vitongoji 105 Geita
Umeme vijijini umekuwa chachu na mabadiliko ya haraka kwa uchumi wa wananchi huku serikali ikiahidi kufikisha huduma hiyo kila kitongoji. Na Mrisho Sadick: Wakala wa nishati vijijini (REA) umeanza Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa…