Habari za Jumla
19 July 2021, 7:42 pm
DC Kiswaga: Maonesho ya kibiashara Kahama kuwa ya mfano
Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo kiswaga amewaomba wananchi wilayani humo kujitokeza katika maonesho ya Ujasiliamali na wafanybiashara wakubwa na wadogo katika viwanja vya halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani humo. Akizungumza na wandishi wa Habari ofisini kwake…
17 July 2021, 17:18
Ded Maswa hakuna upungufu wa panadol kama inavyosambaa katika mitandao ya kijami…
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Dr.Fredrick Sagamiko amewaomba watanzania kupuuza taarifa ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukosefu wa dawa aina ya Panadol katika hospitali ya wilaya ya Maswa . Taarifa ya kutokupatikana…
17 July 2021, 05:03 am
Mazalia ya mbao maarufu kama rapurapu kutumika mkaa!!
Huu ni mkaa ambao umetengenezwa kutokana na mazalia ya mbao maarufu kama rapurapu baada ya mbao kurandwa mkaa huu unasifa bora ya unapotumia kwanza unatumia kiasi kidogo sana cha lakini pia unasifa ya kuwaka kwa muda mrefu tofauti na mkaa…
16 July 2021, 13:37
RC Kafulila awahakikishia wakazi wa kijiji cha Malampaka kutatua Kero za…
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh David Kafulila amewahakikishia wananchi wa Malampaka na mkoa wa Simiyu kutatua Kero zote zinazowakabili ili kuendana na kasi ya Rais wa awamu ya Sita Mh, Samia Suluhu Hasani. Mh, Kafulila amesema hayo wakati akizungumza …
15 July 2021, 12:35
Wananchi wilayani Maswa Mkoani Simiyu walalamikia upatikanaji wa huduma…
Mkuu wa mkoa wa simiyu Mh Davidi Zacharia Kafulila amemuagiza mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh , Aswege Kaminyoge Kufuatilia Changamoto ya mama wajawazito wanaoenda kujifungua katika Hospitali ya wilaya ya Maswa kutozwa Fedha. Maagizo hayo ameyatoa wakati wa Mkutano …
14 July 2021, 13:28
Mwanamke ana haki ya kumiliki mali na kuuza chochote kwaajili ya familia
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa mwanamke anahaki ya msingi ya kumiliki ardhi kama ilivyo kwa upande wa mwanaume katika familia kwa mjibu wa sheria. Akizungumza na Dodoma fm msaidizi wa kisheria kutoka halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw. Yona Sakaza…
14 July 2021, 12:49
Ugumu wa maisha na msongo wa mawazo ni sababu zinazopekea vijana kujiingiza kati…
Na;Yussuph Hans. Ugumu wa maisha na msongo wa mawazo bado vimeendelea kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea wimbi la baadhi ya vijana kuingia katika matumizi ya dawa za kulevya. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya vijana waliokuwa watumiaji wa dawa…
9 July 2021, 07:31 am
WAKULIMA wa zao la ufuta wa chama kikuu cha ushirika wa wakulima Masasi wamelipw…
WAKULIMA wa zao la ufuta wa chama kikuu cha ushirika wa wakulima Masasi-Mtwara (MAMCU) mkoani Mtwara wamelipwa fedha zao jumla ya sh.11,702,529,251 ambazo ni mauzo ya jumla ya kilo 5,002,275 katika minada miwili ya zao hilo iliyofanyika mwezi huu wa…
9 July 2021, 07:25 am
MKUU wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, ameomba kupewa ushirikiano wa karibu kut…
MKUU wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Claudia Kitta( katikati) ameomba kupewa ushirikiano wa karibu kutoka kwa watendaji na wananchi wa wilaya hiyo ili kwa pamoja kuweza kufanya kazi kwa bidii katika kutatua kero za wananchi wa wilaya ya Masasi.…
9 July 2021, 07:19 am
Mtoto ambaye ni Msichan amekufa baada ya fisi kuvamia Jando la wasichana
Mtoto ambaye ni Msichana mwenye umri wa miaka nane wa kijiji cha kivukoni kata ya Chiwale , Wilayani Masasi mkoani Mtwara ambapo mtoto huyo alikuwa amewekwa unyango Jandoni amekufa baada ya fisi kuvamia Jando la wasichana na kumkamata mtoto huyo…