Radio Tadio

Habari za Jumla

14 June 2025, 15:46

Somabiblia wawatoa msaada kwa wahitaji

Kampuni ya soma Biblia imefikisha miaka kumi katika kuadhimisha miaka hiyo wametembelea jeshi la magereza Rwanda Mbeya kuwatazama wafungwa na kutoa msaada wa vitu mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Wadau na taasisi mbalimbali wameombwa kutowatenga wahitaji badala yake wanatakiwa kujenga utamaduni…

14 June 2025, 12:41 pm

Faida za kulima bustani ya mbogamboga nyumbani

Na. Theresia Damas & Abdunuru Shafii Makala hii inaangazia umuhimu wa kulima bustani ya mbogamboga nyumbani katika eneo dogo. Je unafahamu umuhimu wa bustani ya mbogamboga nyumbani ama laah? sikiliza makala hii inayo somwa na Linda Dismas

14 June 2025, 12:15 pm

Wazazi/walezi msiwatelekeze watoto

Meneja wa Mpanda radio FM Denis Mkakala. Picha na Samwel Mbugi “Tumekuja kuwasalimia watoto na kuwaletea zawadi” Na Anna Mhina Wazazi na walezi wa mkoa wa Katavi wameshauriwa kuhakikisha wanasimamia misingi ya malezi bora ya kulea watoto na si kuwatelekeza.…

June 14, 2025, 10:56 am

Madereva wa magari waonywa kuegesha vibaya Mnadani

Wito huo umetolewa na mkaguzi wa magari kutoka Jeshi la polisi wilayani Kasulu Koplo Fadhili Ndege wakati akiongea na Buha FM Radio akiwa sokoni hapo juu ya namna madereva wa magari wanavyopaki wakati wanapakia mizigo kwa ajili ya kuisafirisha sehemu…

14 June 2025, 10:24 am

Wanaume watakiwa kusimama imara kulifanya kanisa kuwa na umoja

Kanisa linahitaji wanaume wa kutosha na  wenye moyo thabiti  wa kulitunza kanisa la Mungu. Na Emmanuel Kamangu Wanaume wa kanisa katoliki parokia ya mrubona jimbo  katoliki la kigoma wametakiwa kuwa kielelezo cha kanisa ikiwemo kusimama imara katika kulifanya kanisa kuwa…

14 June 2025, 10:19 am

Tabasamu akabidhi mil.10 kwa bodaboda Sengerema

Mai 19 waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Kassimu Majaliwa alikuwa na ziara wilayani Sengerema ya kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi ambapo bodaboda waliiomba serikali kuwasaidia fedha ili kutimiza malengo yao ya kununua koster kwa ajili…

June 14, 2025, 10:09 am

Wanafunzi Mbogwe wasomea chini ya miti

Shule ya msingi Mtakuja kata ya Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita ina wanafunzi wapatao elfu 1 lakini vyumba vya madarasa havitoshi kulingana na idadi ya wanafunzi. Na Samwel Masunzu- Geita Wanafunzi wa darasa la tano na la sita katika  shule…

June 14, 2025, 10:09 am

Sungusungu waaswa kudumisha amani ya nchi

Sherehe za miaka 43 ya Sungusungu mjini Shinyanga zimefanyika mjini Shinyanga kwenye Kata ya Iselamagazi huku wakiaswa kulinda amani ya nchi Na Neema Nkumbi Jeshi la Jadi la Sungusungu Wilaya ya Shinyanga Vijijini Juni 12, 2025 limeadhimisha miaka 43 tangu…