Radio Tadio

Habari za Jumla

2 Julai 2025, 6:58 um

Mwenge wa uhuru kukagua miradi 8 Babati mji

Jumla ya miradi nane yenye thamani ya sh Bilion 3.29 inatarajiwa kukaguliwa na kuwekewa mawe ya msingi wakati wa mbio za mwenge wa uhuru kwenye halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara ambapo utakimbizwa julai 15 mwaka huu. Na Mzidalfa…

29 Juni 2025, 4:17 um

Miaka minne bila huduma ya maji kwa pengo

Ni zaidi ya miaka minne katika kijiji cha kwa pengo shehia ya Sizini wameendelea kukosa huduma ya maji safi na salama ambapo ni jambo la msingi na muhimu kwa matumizi ya binadamu ya kila siku . Na Fatma Faki WANANCHI…

28 Juni 2025, 9:52 um

UWT yataka wanawake kuchukua hatua uchaguzi mkuu

Chama cha Mapinduzi CCM kimeanza mchakato wa utoaji fomu za kuwania nafasi mbali mbali kupitia kura za maoni ndani ya chama . Na Is-haka MohamedMakamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake UWT Tanzania Zainab Khamis Shomar amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi…

27 Juni 2025, 1:24 um

Lindi yaadhimisha siku ya wajane kimkoa

Na khadja Omari Mkuu wa Wilaya ya Lindi Bi Victoria Mwanziva, amesema Serikali ya awamu ya sita inatambua na itaendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuwawezesha wajane kama ilivyo kwa makundi mengine, kuwapa stahiki zao ikiwa pamoja na utatuzi wa matatizo…

26 Juni 2025, 8:47 mu

Dereva bajaji Katavi auwawa

Mahali ulipopumzishwa mwili wa Silavius. Picha na Leah Kamala “Ni tukio ambalo haulitegemei linatokea katika utafutaji” Na Leah Kamala Kijana mmoja mwendesha pikipiki ya magurudumu matatu maarufu kama bajaji kata ya Nsemulwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi Silavius Nestory Kameme…

18 Juni 2025, 2:43 um

Bifu la Mpina na Bashe, Rais Samia apigilia msumari

Maombi hayo kuyaleta mbele ya Rais ni kujitafutia umaarufu na kudhibitisha mbunge hakulifanyia haki jimbo lake ” Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Meatu-Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia suluhu Hassani ameonyesha kukerwa na…