Habari za Jumla
24/05/2022, 20:08
Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.
Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid]. …
23 Mei 2022, 2:12 um
MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI KATAVI
KATAVI Kufatia maadhimisho ya siku ya nyuki duniani mkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka watanzania kutunza mazingira kwa kuhifadhi misitu ili kuongeza thamani ya mazao ya mdudu nyuki. Akizungumza katika sherehe za maadhimisho ya siku ya nyuki duniani…
23 Mei 2022, 1:56 um
MIGOGORO WAKULIMA NA WAFUGAJI HALI TETE
KATAVI. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Karema mkoani katavi wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgogoro kati ya wakulima na wafugaji kabla haujaleta madhara makubwa katika jamii. Wakulima hao wameiambia mpanda radio fm kuwa ugomvi kati ya wafugaji…
23 Mei 2022, 1:03 um
DC TANGANYIKA UMEME KAREMA KABLA YA MAY 20
KATAVI. Mkuu wa wilaya ya tanganyika onesmo buswelu amelitaka shirika la umeme mkoa wa katavi kuunganisha umeme katika bandari ya karema kabla ya may 20 mwaka huu kwakuwa mradi huo upo katika hatua za mwisho kukamilika. Buswelu ametoa angizo hilo…
19/05/2022, 15:12
Wabunifu waiomba serikali kuendelea kuwawezesha
Na;Mindi Joseph. Wabunifu wameiomba serikali kuendelea kuwawezesha ili kuendeleza Bunifu zao kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa maendeleo ya Taifa. Taswira ya habari imezungumza na Mkufunzi wa mafunzo ya matengenzo ya ndege kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji Juma Msofe…
19 Mei 2022, 2:22 um
Mkurabita awa Mkombozi kwa wafanyabiashara
Wafanyabiashara Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya wametakiwa kurasimisha shughuli zao za biashara ili kupanua wigo wa kuzifikia fursa mbalimbali ikiwa ni pamoja na urahisi wa kupata mikopo na leseni za biashara. Hayo yamejiri katika ufunguzi wa mafunzo ya kurasimisha biashara za…
14/05/2022, 17:43
Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari. Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya…
11 Mei 2022, 3:53 mu
Familia ya watu wenye ulemavu Lulanzi Wilaya ya Kilolo wapatiwa Msaada wa Magodo…
Familia ya watu watatu wenye ulemavu katika kijiji cha Lulanzi Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa imekabidhiwa magodoro manne ya kitabibu na Balozi wa utalii Tanzania Bi Isabella Mwampamba akiwa na wadau wa maendeleo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magodoro hayo,…
10/05/2022, 16:10
Wakazi wa kisisi walazimika kutumia maji ya visima vya asili
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Kisisi Wilayani Mpwapwa wanalazimika kutumia maji ya visima vya asili kutokana na kukosa huduma ya maji Safi na salama Wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa licha ya kuchota maji ya visima vya…
06/05/2022, 15:05
Baadhi ya wakazi wa Ihumwa wakosa uelewa juu ya alama za mipaka
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya Wananchi wa Ihumwa wametajwa kuwa na uelewa mdogo juu ya utunzaji wa Mali na miundombinu inayowekwa na Serikali kwa lengo la kuwanufaisha wananchi. Kutokana na hayo wananchi wa Ihumwa wamesisitizana juu ya suala la kulinda…