Radio Tadio

Habari za Jumla

24 August 2021, 8:29 am

Tahadhari Ya Moto

Na Katalina Liombechi Wakulima katika Wilaya ya Kilombero wametakiwa kuchukua Tahadhari ya kudhibiti Moto hasa kipindi hiki cha Maandalizi ya Mashamba ili Kuzuia kuchoma Rasilimali Za Misitu. Idd Hassan Liwiga ni Mhifadhi wa Misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu…

14 August 2021, 16:22 pm

Polisi yamkamata “anayetuhumiwa” kuteka watoto Mtwara

Na Gregory Millanzi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemkamata mtuhumiwa Jabiri Bakari (19) kwa tuhuma za uhalifu wa utekaji, ubakaji na kulawiti watoto baada ya kuwalaghai kwa njia mbalimbali na kufanikiwa kuondoka nao kwenda kwenye maeneo na kunzisha makazi…

31 July 2021, 15:18 pm

Mtwara: Watu 15 watuhumiwa kwa Viuatilifu feki

Na Musa Mtepa. Jumla ya Tani 84.3 za pembejeo Feki (Viuatilifu) zenye thamani ya Zaidi ya milioni 100 zimekamatwa katika oparesheni maalumu wakati zikipelekwa Kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Akizungumza Na waandishi WA Habari ofisini kwake Mkuu…

July 26, 2021, 6:46 pm

Baiskeli 40 kusaidia kuzuia maambukizi mapya ya Ukimwi

Mabinti wenye umri kati ya miaka 15-24 wa halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wamepatiwa Baiskeli zaidi ya 36 kwa ajili ya uelimishaji rika juu ya kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi. Baiskeli hizo zimetolewa na shirika la Huheso Foundation…

July 19, 2021, 7:42 pm

DC Kiswaga: Maonesho ya kibiashara Kahama kuwa ya mfano

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo kiswaga amewaomba wananchi wilayani humo kujitokeza katika maonesho ya Ujasiliamali na wafanybiashara wakubwa na wadogo katika viwanja vya halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani humo. Akizungumza na wandishi wa Habari ofisini kwake…