Radio Tadio

Habari za Jumla

26 August 2024, 3:02 pm

Wadau Geita wapongeza mfumo mpya wa NECTA

Wanafunzi wa darasa la 7 kote nchini wanatarajia kuanza kufanya mtihani wa taifa wa kuhitimu elimu hiyo septemba 11 na 12 mwaka huu. Na: Ester Mabula – Geita Mkurugenzi wa shule ya awali na msingi Kadama Bi. Leticia Pastory amesema…

22 August 2024, 9:33 am

367 wahamia Msomera licha ya maandamano Ngorongoro

Kumekuwa na maandamano kwa wananchi wanaoishi tarafa ya Ngorongoro wakiitaka serikali kuwasikiliza na kutatua changamoto na kero zinazowakabili bila ya mafanikio, hata hivyo wengine wameendelea kukubali kuhama kwa hiari kulekea Msomera. Na mwandishi wetu. Mwitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo…

20 August 2024, 12:13 pm

Wakatazwa kujihusisha na kilevi wakati wa uandikishaji

Tume huru ya uchaguzi nchini inatarajia kuanza zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga tar21/08/2024 Na:Emmanuel Twimanye Maafisa uandikishaji  wa  uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura katika  Jimbo la Sengerema…

19 August 2024, 16:42

Maafisa ugani watakiwa kuwatembelea wakulima Kigoma

Mkuu wa Mkoa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka maafisa ugani kuwatembelea maafisa ugani na kusikiliza kero zinazowakabili kwenye shughuli za kilimo na kuzitatua. Na Tryphone Odace – Kigoma Kutatuliwa kwa Changamoto ya…

August 19, 2024, 2:51 pm

Gari la uzoaji taka lazua malalamiko Kahama

Na, Neema Yohana, Veronica Kazimoto Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Nyasubi Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameiomba serikali ya mtaa wa Nyasubi Kutatua changamoto ya kuchelewa kwa gari linalotumika kukusanya taka zinazozalishwa kwenye makazi yao. Wametoa ombi hilo wakati…