Radio Tadio

Elimu

12 October 2022, 12:43 pm

Uhaba wa madarasa Miganga wawanyima uhuru wanafunzi

Na; Benard Filbert. Uhaba wa madarasa katika shule ya msingi Miganga kata ya Idifu wilaya ya Chamwino imetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi kujifunza kwa uhuru. Hayo yameelezwa na wazazi wa wanafunzi katika kijiji cha Miganga wakati wakizungumza na Taswira ya…

11 October 2022, 11:43 am

Vijana Waaswa Kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere

KATAVI. Vijana Mkoani katavi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambalage Nyerere kwa kuwa wazarendo na kudumisha amani ya taifa kuelekea kumbukizi ya miaka 23 ya kifo chake. Kauli hiyo imetolewa na Rafael Peleleza kijana…

4 October 2022, 5:49 am

Wazazi Chanzo cha Watoto Kujihusisha na Biashara Muda wa Masomo

KATAVI Wazazi kutohusika kwenye malezi ya watoto wao imekuwa ni chanzo cha watoto kujihusisha kwenye shughuli mbalimbali za kujitafutia kipato, muda ambao watoto hao walipaswa kuwa shule. Wakizungumza na mpanda Radio fm baadhi ya watoto wakiwa kwenye shughuli za kujitafutia…

16 September 2022, 1:01 pm

Serikali yasisitiza umuhimu wa lishe bora shuleni

Na; Alfred Bulahya. Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza  Jijini…

16 September 2022, 4:43 am

Zaidi ya Wanafunzi 5,000 Kusomea Chini Kata ya Shanwe

MPANDA Zaidi ya wanafunzi  5000 katika  Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi  hawana sehemu ya  kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…

16 September 2022, 4:28 am

Wananchi Waaswa Kufichua Vitendo vya Kiharifu

KATAVI Wananchi mkoani Katavi wamepaswa kufichua  na kushiriki katika kutoa taarifa na vitendo vya kiharifu ili kukomesha  vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Inspekta Kelvin Fuime  kutoka ofisi ya Kamanda wa Polisi  Mkoa Dawati la Jinsia, ambapo amesema ni wajibu wa…

16 September 2022, 4:07 am

Watembea kwa Miguu Walia na Waendesha Vyombo vya Moto

MPANDA Baadhi ya watembea kwa miguu katika manispaa ya  mpanda mkoani katavi wamewalalamikia madereva wa vyombo vya moto kutozingatia sheria na alama za usalama barabarani pindi wanapoendesha. Wakizungumza na mpanda redio fm wananchi hao wameeleza kuwa wanakutana na changamoto ya …

10 September 2022, 9:26 am

TOZO ya miamala ya simu yasaidia upatikanaji wa madarasa

RUNGWE-MBEYA Kupitia TOZO ya miamala ya simu, Serikali imetoa jumla ya shilingi Million 12.5 kwa ajili ya ukamilishaji wa chumba Cha darasa katika shule ya Sekondari Ndembela one iliyopo kata ya Makandana. Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imetoa kiasi…