Elimu
6 Febuari 2023, 15:50
Viongozi wa dini na waumini wapigwa msasa
Rai imetolewa kwa viongozi wote wa dini katika sehemu za Ibada kukemea utoro wa wanafunzi, ukatili pamoja na matumizi ya dawa za kulevya ili kuwa na kizazi chenye maadili na hofu ya Mungu. Na Benard Magawa Jeshi la Polisi wilaya…
6 Febuari 2023, 13:39
Sakata la kufutiwa matokeo wazazi wazua gumzo
Wazazi wameandamana baada ya matokeo ya watoto wao kufutwa. Na Mariam Kasawa. Wazazi wameandamana baada ya matokeo ya watoto wao kufutwa walia na serikali wakiomba wizara ya elimu iwasaidie kupata majibu ya watoto wao kwani wamewasomesha kwa shida sana. Kwahabari…
4 Febuari 2023, 17:53
Wito watolewa kwa vijana wa vyuo vikuu
Wito umetolewa kwa jamii hasa vijana wa vyuo kujijengea uwezo wa kusaidia kutoa huduma ya kwanza pindi yanapotokea majanga ili kuokoa maisha ya wahanga waliopata matatizo mbalimbali ikiwemo ajali Na Fred Cheti. Wito huo umetolewa na Gofrey Mutasilwa Mratibu wa…
4 Febuari 2023, 13:07
Wazazi na walezi Iringa wahimizwa kutoa michango ya chakula shuleni
Chakula kikiwepo shuleni kinasaidia kuondoa mazingira magumu kwa watoto na kupelekea wawe na utulivu wakati wa masomo na kukuza taaluma. Na Ashura Godwin Wazazi na Walezi mkoani iringa wametakiwa kuendelea kuchangia fedha kwa ajili ya chakula shuleni ili kuondoa mazingira…
3 Febuari 2023, 19:10
Tutatumia sheria kwa wazazi wasiopeleka watoto shule
Na Loveness Daniely. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi Hassan Ngoma amesema kuanzia February 6 2023 wataanza kufanya msako mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba kwa kutumia sharia na miongozo iliyopo kwa wazazi wasio wapeleka Watoto shuleni msako…
2 Febuari 2023, 16:07
Wilaya ya Bahi yapanga kuongeza kiwango cha ufaulu
Wilaya ya Bahi yapanga kuongeza kiwango cha ufaulu kutoka nafasi ya kumi hadi ya tano kitaifa kwa mwaka 2023/2024. Na Benard Magawa . Halmashauri ya wilaya ya Bahi imeanza mikakati ya kuhakikisha wanapandisha zaidi ufaulu kwa mwaka 2023 lengo likiwa…
2 Febuari 2023, 11:15
Waziri Adolfu Mkenda atoa sababu za Necta kutotangaza Shule Bora
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ametoa ufafanuzi na sababu NECTA Haitangazi Shule Bora na Zile Zilizofanya Vibaya. Na Seleman Kodima. Amesema kuwa takwimu zote ambazo zinahusu kutangaza shule ipi bora zinapatikana na wala sio siri bali…
31 Januari 2023, 12:16
Wazazi hakikisheni watoto wanapata elimu
Wazazi na walezi watakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ambayo inatolewa bila malipo pamoja na kuwalea katika maadili mema kwa kuwarithisha mila na desturi njema ili kuwa taifa lenye sifa njema na maadili mema. By Asha Mado Katika kuhakikisha watoto…
31 Januari 2023, 12:06
Chuo kikuu cha Dar es salaam kutoa Shahada ya pili na ya tatu ya kilimo Ruangw…
Ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es salaamu tawi la Ruangwa kitakachotoa Shahada ya pili na ya tatu katika ngazi ya kilimo unatarajia kuanza Juni 2023. Na Loveness Daniel. Ujenzi wa chuo kikuu cha kilimo kupitia chuo kikuu cha dar…
31 Januari 2023, 12:04
Wanafunzi wapewa elimu ya usalama barabarani
Inspekta Magazi akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika wakati akiwapa elimu ya usalama barabarani kipengele cha waenda kwa miguu. Na Lawrence Kessy Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika, iliyopo Kata ya Mwenge Mtapika, Halmashauri ya Mji wa Masasi, …