Elimu
9 March 2023, 1:12 pm
Watu wenye ulemavu washauriwa kuchangamkia mikopo ya halmashauri
KATAVI Watu Wenye ulemavu Mkoani Katavi wameshauriwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia mbili inayotolewa na serikali kupitia halmashauri zote nchini. Katibu wa Chama cha watu wenye ulemavu Mkoa wa Katavi Godfrey Sadala ameiambia Mpanda Radio kuwa watu wenye ulemavu…
9 March 2023, 12:52 pm
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wanafunzi waaswa kuripoti ukatili
KATAVI Katika kuelekea siku ya wanawake duniani wanafunzi wa kike katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameaswa kutoa taarifa kila waonapo ukatili wa kijinsia. Akisoma taarifa afisa maendeleo ya jamii manispaa ya mpanda bi Marietha Mlozi amesema wanaiadhimisha siku ya…
7 March 2023, 18:46
Ukosefu wa shule wasababisha ndoa za utotoni
Kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza roho Kata ya Manzase Wilaya ya Chamwino imesababisha wanafunzi kuacha masomo na kuamua kuolewa katika Umri mdogo. Na Victor Chigwada, Imeelezwa kuwa changamoto ya kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza…
7 March 2023, 16:27
Polisi Watoa Elimu Kukemea Ukatili Iringa
Kufatia kukithiri kwa matendo ya kikatili katika mkoa wa Iringa Jeshi la Polisi linaendeleza kampeni ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili. Na Joyce Buganda. Jeshi la polisi Mkoani Iringa linandelea na kampeni ya kutoa elimu katika makundi mbalimbali kuhusu mambo…
6 March 2023, 16:52
Tamko la serikali kuelekea siku ya wanawake
Elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo kiuchumi na kiutawala ili kuimarisha usawa wa kijinsia nchini. Na Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika…
6 March 2023, 12:29
Wanawake watakiwa kuacha kuwaficha watoto wenye ulemavu
Baadhi ya vitu ambavyo vimekabidhiwa kwa watoto hao ni pamoja na magodoro,taulo za kike,mavazi,sabuni ,mafuta ya kupaka na vitu vingine ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kila mwaka wa kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Na Seleman Kodima. Wito…
6 March 2023, 10:22
Mbugani watakiwa kukamilisha ujenzi wa madarasa kwa wakati
Shule hiyo ambayo ni shule shikizi inatakiwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa madarasa mawili ambayo baada ya kukamilika kwake kutakuwa na jumla ya vyumba sita vya madarasa katika shule hiyo ya msingi Mbugani. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa…
4 March 2023, 10:18
Simiyu: DC Maswa apiga marufuku wanafunzi kufukuzwa shuleni
Na Alex Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ,Mhe.Aswege Kaminyoge ,amepiga marufuku tabia ya Wakuu wa shule wilayani hapo kuwafukuza wanafunzi kwa sababu ya kutokukamilisha michango ya shule au kwa sababu zingine zile. Hayo ameyasema wakati akizungumza na…
3 March 2023, 11:55
Elimu yasaidia kupunguza fedha haramu na ufadhili wa kigaidi
Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za kimataifa zimejitolea kuleta mabadiliko ya hali hiyo kwa kuanzisha dhana ya wamiliki manufaa. Na Fred Cheti. Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni imesema utoaji wa elimu kwa Wamiliki manufaa umeleta…
28 February 2023, 17:21
Wanafunzi watembea zaidi ya kilomita 28 kufuata shule
Serikali imeombwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari ili kurahisha upatikanaji shule hali itakayopunguza gharama kwa wazazi wanaosomesha watoto . Na Victor Chigwada Wanafunzi wa kata ya chiboli wilayani chamwino wanalazimika kutembea umbali wa zaidi ya km 28…